nguvu za giza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu. Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka...
  2. R

    TANESCO ndiyo wenye nguvu za giza

    Kwa muktadha wa mabadiliko ya hali ya hewa nakubaliana na wadau wanaosema TANESCO ndiyo taasisi yenye nguvu za giza kuliko taasisi nyingine zote. Nguvu za giza zimeondoka na mawaziri wengi, wakurugenzi na makatibu wakuu. Zinaendelea kuondoka na wengi kupitia miradi chechefu. Tunapopambana na...
  3. R

    Kwanini waumini wengi wa Dini ya Kikristo wanaamini mkristo aliyefanikiwa ni mchawi au anatumia nguvu za Giza?

    Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason. Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason. Je, Mungu wa wakristo...
  4. Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place

    Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
  5. Jamaa anataka atumie nguvu za giza kupata mke

    Kuna jamaa yangu mmoja alikuja kunipa changamoto yake kwenye mahusiano; anasema kuna mrembo mmoja amempenda, na huyo mrembo anafanya kazi za ndani kwa tajiri mmoja. Huyo rafiki yangu alimfahamu huyo mrembo, kutokana na tajiri wa huyo binti kumtuma huyu kijana mara kwa mara kupeleka mzigo hapo...
  6. Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Hello! Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?". Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
  7. Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila nikikumbuka nabaki kulia tu. Wakati naripoti shuleni nilikuwa nimechelewa kidogo baada ya kufika pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…