Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa wapenzi wa Ngumi. Mapambano yenyewe ya Mandonga ndio yanayobeba event nzima ya siku...