ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. JamiiForums Tanzania Handeni, Tanga: Wachinja ng'ombe 23 ziara ya Rais Samia

    Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Bull Forge mazao ya ng'ombe.

    Bull forge tunanua bidhaa zitokanazo na ng'ombe kama ngozi kavu, pembe kavu. n.k
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ukatili unafanyika kwenye wanyama wanaofugwa kama Mbuzi, Ng'ombe

    Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge. Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea huruma. Na pengine hata maji hawapewi hadi hio jioni. Hili suala ni la kuliangalia, hawaviumbe nao...
  7. JamiiForums Tanzania Nakutamkia ushindi zidi ya roho za kichawi,kimizimu,kijini na kishetani zilizovaa umbo la kenge, nyoka , Simba,chui, mamba, ng'ombe pokea ushindi wako

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata afikie hatuna ayatawale maisha yako kwa kukunyanyasa Kataa kunyanyaswa na shetani kwani unamuweza...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kafara au matambiko wanatumika njiwa, kuku, mbuzi au ng'ombe na sio mbwa, kondoo, kanga au paka?

    😂 au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
  9. JamiiForums Tanzania MH LISSU, Dawa ya Ng'ombe mkorofi ni kumshika mapembe yake, kwakua FAM amedai hamna Rushwa /Mkate /Abdul,, Itisha Waandishi wa Habari Ujibu mapigo

    MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu . Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie. Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita...
  10. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata zaga na ngozi za ng'ombe kavu?

    Ndugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawili wakamatwa kwa wizi wa ng'ombe Kenya

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo. Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
  12. JamiiForums Tanzania Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

    Habari Wakuu? Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12. Je, huko kwenu ni kiasi gani? Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa. Christmas itakuwaje? Mama ana ......................
  13. JamiiForums Tanzania Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

    Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa. Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mke anayeweza kuchunga ng'ombe angalau kwa wiki mara moja.

    Habari wakuu. Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe. Vigezo ni awe anapumua tu, Nawasilisha
  15. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  16. JamiiForums Tanzania Kijiji cha Oltepes Longido kina maji, hakuna anayetumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha akiwa hedhini

    "TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA" Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini, Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza watendaji wa sekta ya Maji mkoani Arusha...
  17. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji: Watumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya hedhi na mkojo wa ng’ombe kujisafisha. Wanawake hao hulazimika kutumia siagi hiyo (mafuta ya...
  18. JamiiForums Tanzania RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma. “Ng’ombe kama 200 hivi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaamini maziwa ya chocolate yanatoka kwa ng'ombe wa kahawia

    Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui? ==== Seven percent of all American...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…