Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom.
Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya.
Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
Usishtuke na kichwa cha habari—ni utani tu.
Lakini ujumbe wake ni mzito na wa kweli 👇
🐄 Ufugaji wa ng’ombe ni fursa kubwa ya kiuchumi, haijalishi unaishi wapi:
iwe ni kijijini, pembezoni mwa mji au katikati kabisa ya mji.
Ukweli ni huu:
👉 Ukiandaa mazingira rafiki
👉 Ukiwa na miundombinu sahihi...
SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI):
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa
Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya kununua ng’ombe wa maziwa, ili kuepuka hasara zinazotokana na maamuzi ya haraka au taarifa zisizo...
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi — si kwa bahati, wala miujiza, bali kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, na ufugaji wa kibiashara unaoeleweka.
Changamoto kubwa kwa wafugaji wengi ni 1.kukosa ng’ombe bora,
2. kukosa mfumo sahihi wa kufuga kwa faida.
3...
Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa:
➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku
➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na:
TZS 30,000–40,000 KILA SIKU kutoka kwa ng’ombe mmoja tu.
Fanya hesabu kwa Mwezi utakua na bei gani?
Na tofauti na...
Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri haki, kwasababu haki ikitamalaki amani itapatikana automatically, more or less.
Analogically...
Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania.
Kila siku tubapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza — na hii si bahati nasibu, ni mwelekeo mpya wa kiuchumi unaojenga ajira na uhakika wa kipato.
💡 Kwa...
Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa!
Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
Ufugaji wa mbuni (Ostrich farming) ni aina ya kilimo cha kisasa kinachokuwa kwa kasi katika maeneo mengi duniani, ikiwa ni pamoja na baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, na Uganda. Mbuni ni ndege mkubwa kuliko wote duniani, ambaye huliwa nyama yake, hutumika kwa manyoya...
Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia.
Utafiti wao umeonyesha kuwa muundo huu unapunguza kutua kwa inzi kwa zaidi ya asilimia 50, hasa maeneo nyeti kama...
Unasikia vizuri kabisa!
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi
✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata
✅ Ng’ombe Bora
✅ Mafunzo ya Kitaalamu
kutoka kwetu!
Na wewe unaweza!
⏰ Usichelewe – fursa bado ipo!
Wasiliana nasi leo:
📞 0764 148 221
Upate Ng’ombe Bora...
Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya ufugaji wa maziwa.Tutaeleza na kuchambua kwa kina jinsi ya kutambua fresian sahii. Tutachambua...
Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini.
Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
Je, unafahamu kuwa ukiwa na ng’ombe mmoja wa maziwa, unaweza kujipatia kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kila mwezi? 🤯 Hii ni fursa halisi kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa.
Ng’ombe mzuri wa maziwa anaweza kutoa wastani wa lita 15 - 25 za maziwa kwa siku. Kwa bei ya...
Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia usalama wa afya ya mifugo na mazao yake nchini. Jukumu hili hufanyika kwa kutumia Sheria na Kanuni...
Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe
Basi inaendelea kama ifuatavyo;
Baada ya Mfalme Sedekia kuuawa, sasa Yehoyakimi akachukua nafasi hiyo ya kuiongoza Yuda (Israel). Hapa kuna kitu...
Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi?
Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea.
Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.