"Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika,
wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru.
Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2
watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema.
Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru.
Kumbe si...