ngazi

Ngazi Sport de Mirontsi is a football club from the Comoros based in Mirontsi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mzalendo namba moja alikuwa wapi wakati nchi inapata nyufa za uadilifu? Au alijikita kupenyeza majina kwenye uteuzi akaacha jukumu mama?

    Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama. Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala...
  2. Kwanini lugha ya Kiswahili haitumiki kufundisha kwa ngazi zote za kielimu?

    Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums: Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022. 1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
  3. Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  4. Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  5. Kombe la dunia kwa ngazi ya vilabu kuanza mwaka 2025

    OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa. Umepokeaje? #FIFAWorldCup
  6. Kombe la Dunia kwa Ngazi ya Vilabu kuanza mwaka 2025

    OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa Kombe la Dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa. Umepokeaje? #FIFAWorldCup
  7. K

    Tanzania kwa ujumla wake tuna tatizo la uongozi ngazi zote

    Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa. Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila mengine yana utamaduni wa biashara na maendeleo na mengine hayana. Kwanini wahindi wana utamaduni wa...
  8. Z

    Umaskini wa nchi za Afrika ni matokeao ya kukataa kukosolewa. Unapokosolewa ni afya kwa nchi yako. Kubali kukosolewa, badilika au achia ngazi

    Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
  9. Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  10. Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

  11. C

    Kilosa wamtaka Prof. Kabudi aachie ngazi ya ubunge na ndani ya chama

    Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa. Mimi ningekuwa yeye...
  12. Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

  13. Shaka: CCM itawajengea uwezo kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi, viongozi wapya waliochaguliwa katika ngazi zote kichama

    Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
  14. Salamu za pongezi kwa washindi na washiriki katika uchaguzi ngazi ya UVCCM wilaya

    PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Uongozi ni dhamana ambayo mtu hukabidhiwa na...
  15. CCM inaanza vikao vya uteuzi wa ngazi ya Taifa leo Dodoma

    Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya. “Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na...
  16. K

    SoC02 Mfumo wa utoaji huduma za afya uanzie kwenye ngazi ya familia ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ambukizwa

    Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...
  17. Afisa wa ngazi ya juu Urusi, ambaye mndani wa Putin auawa kwa bomu Ukraine

    Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye gari lake....watakufa sana hawa. Russian colonel and one of Vladimir Putin’s ‘closest allies’ was...
  18. SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
  19. SoC02 Changamoto ya Uwajibikaji wa Viongozi Ngazi ya Kata

    Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo ndogo ndogo katika kata kama vile Ulipiaji taka hii ni mojawapo ya changamoto inayonikumba mimi binafsi...
  20. Upatikanaji wa ajira upoje ngazi ya diploma?

    Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…