ngazi

Ngazi Sport de Mirontsi is a football club from the Comoros based in Mirontsi.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Natafuta fundi anayejua vizuri Auto electrical au aliyesomea hii kozi ngazi ya cheti au diploma

    Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!! Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  3. H

    Wasaidizi wa viongozi pamoja na viongozi wa ngazi za chini mnafanya kazi gani kwenye maeneo yenu?

    Inakuwaje kero ndogo inayoweza kutatuliwa ndani ya wilaya au mkoa inasubiri hadi Waziri Mkuu au hata Rais afike ndipo ichukuliwe hatua? Ndani ya kila eneo kuna Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na watendaji wengine wengi waliokabidhiwa mamlaka ya kusimamia...
  4. M

    Jinsi ya kuondoa ngazi ya elimu ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
  5. October 2pm

    Desemba twapanda ngazi ya pili. Mje mtuue tena sawa nye immortal

    Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko...
  6. Masalu Jacob

    Je, kuna shida yoyote kuanza kujifunza Taaluma na Ujuzi ngazi ya Shule ya Msingi

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
  7. O

    Ushauri kuhusu nini cha kusoma ngazi ya Shahada

    Habari wanajukwaa Naomba ushauri wenu hapa Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
  8. Samia atosha tukutane2030

    Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  9. A

    DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  10. K

    Je inawezekana hili kwenye ngazi ya Diploma??

    Inafahamika kuwa kupitia TCU unaweza kusoma kozi mbili kwa intake moja. Mathalan uchukue bachelor of arts with education na wakati huo huo uchukue bachelor of law. Ila je kwa mujibu wa NACTE unaweza kusoma kozi mbili za diploma kwa intake moja!? Mathalan usome diploma in primary teaching na...
  11. JF Member

    Nyahoza kuachia ngazi?

    Kwa mujibu wa wadau, wengi wanaona Nyahoza hajafanya kazi yake vizuri ili kuviandaa vyama na uchaguzi. Kila chama kinajifanyie mambo yake na mwisho wa siku uchaguzi huu hautakuwa na ufanisi. Wadau wanaonelea kuwa, hakuna uchaguzi na Nyahoza ataachia ngazi. Ngoja tusubiri.
  12. U

    CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  13. Tajiri wa kinyankole

    Wanaombeza Polepole hadi sasa hawajui kwanini ameachia ngazi tofauti na mambo aliyoyaandika

    Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda , sloslow ana pdf ya taarifa zote jinsi nchi hii inavyonajisiwa kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi ...
  14. The Burning Spear

    Polepole alishwahi kushika ngazi za juu Kabisa za uongozi kwa hiyo kuna mambo ya Sirini hawezi kuyasema kama mnavyofikiria

    GT Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out. Ndugu zangu kumbukeni Mhe polepole alishwahi kuapa kwamba atailinda na kuitetea katiba ya JMT lakini pia hatatoa siri za...
  15. Bishweko

    GE2025 CHADEMA walisoma nyakati kuwa kuna siku watakosa wagombea ngazi za juu zote

    Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
  16. S

    Kwanini tunataka Mangungu aachie ngazi? Nyie mnaomtetea Mangungu someni hapa

    Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge. Kumekuwa na mvuragano mkubwa miongoni mwa wanachama kuhusu uongozi wa Simba, kuna wanaotetea uongozi...
  17. Fifteen

    Kama hakuna tunacho mdai si aachie ngazi

    Urais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake amemaliza?
  18. funaku

    BUNGE LIWEKE KANUNI-Mchango wa Mbunge utokane na vikao halali vya wananchi ngazi ya chini

    Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi. Badala yake bungeni...
  19. stabilityman

    Ukitupa kaz tukujengee nyumba hizi ngazi tunakujengea free Zinaitwa floating stairs Zikipigwa finishing hapo utazipenda

    Ukitupa kaz tukujengee nyumba hizi ngazi tunakujengea free Zinaitwa floating stairs Zikipigwa finishing hapo utazipenda HUDUMA ZA UJENZI NA USANIFU MAJENGO* 📌 Ramani za Nyumba za Kisasa Tunachora ramani za nyumba za kisasa kulingana na mahitaji yako. 📌 Usanifu Majengo (Architectural...
  20. stabilityman

    Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek

    Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek Sikuhizi ushindwe wewe tu mafundi Tz wapo 0743 257 669 Ufundi 600,000 kwa nyumba za makazi material utanunua mwenyewe 0743 257 669 tupo ukonga dsm
Back
Top Bottom