Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao.
Lakini jee? mmeona emperor's new clothes. Nguo zao are very special, ni wale tu watu wenye taste nzuri ya nguo wanaweza tambua...