network

  1. M Hacker

    Jamii forum kuperuzi bila virtual private network hupati habari

    bila private network inakuwa hivi huwezi kuperuzi
  2. President of China

    Tanzania's Blueprint: 11 Ports and the Grand Rail Network Reshape East African Trade - Tanzania vs Kenya Trade Battle

    Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the Indian Ocean, Lake Victoria, Lake Tanganyika, and Lake Nyasa—with a modern, unified railway system...
  3. M

    East and Horn of Africa Election Observation Network (EHORN) statement on Tanzania 2025 Elections

    PRELIMINARY STATEMENT ON THE 29 OCTOBER 2025 GENERAL ELECTIONS IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Today, 31st October 2025 – In line with its mission to promote credible, peaceful, free, and fair elections through impartial regional observation and analysis across the East and Horn of Africa...
  4. M

    GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  5. Shoctopus

    Nani anaekagua kuhakiki vipimo na muda wa network bundles ili kumlinda mteja?

    Salamalleikhoom wakuu! Nataka tujadili kuhusu mada au hoja hapa JUU! Biashara zote za bidhaa zinatawaliwa na aina moja ama nyingine za vipimo ili kuhakikisha kwamba MTEJA anauziwa bidhaa husika kupitia kipimo ambacho mteja na mfanyabiashara wana uhakika nacho. Kwamfano ukinunua nyama au...
  6. D

    KERO SGR watu wamechezea network Uwezi Lipia online

    I will be short Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next . This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki Kwenye control number . Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System...
  7. Kimbesa11

    Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

    Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮 Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii...
  8. O

    Shida ya network kati ya line ya halotel na vodacom

    wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
  9. Pdidy

    Kuna business ya network Jana niliuIizia huku..nkauliza baadhi ya watu huku MKOA naona kimewaka huko helà hazitokii!!!

    KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA ALIEWAHI KUNIINGIZA KAMPUNI MOJA NIKAINGIZA HELA KWA TAMAA NIKAWEKEZA UJE MZIGO WEWE WAKAPITA NAZO...
  10. Dennis Robert Shughuru

    Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote

    Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet Kabla ya hii humanoid project (hii ambayo tupo kwa sasa) wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate...
  11. Genius Man

    Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito

    Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito.
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Tajiri wa Pi Network anaomba nimrudishe kazini

    Huyu kijana aliyekuwa anafanya kazi hapa kama operator wa forklift, aliacha ghafla kuja kazini wiki chache zilizopita. Nikafanya jitihada kumtafuta akawa hapokei simu. Baada ya siku kadhaa akanipigia akaniambia anakaribia kuuza coin zake hivyo hafanyi kazi za kimaskini nitafute mtu mwingine...
  13. Fbn

    Mwanzilishi wa katuni miaka ya 90 zilizotamba Courage the Cowardly kupitia cartoon network

    TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni. Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi na uundaji wa michoro, hususan kupitia kazi ya Courage the Cowardly Dog. David alileta kwa...
  14. H

    Research collaboration

    Hello everyone, I am excited to announce my interest in conducting research focused on community and social development. I am eager to collaborate with researchers, scholars, and professionals from around the world who share a passion for these critical issues. Collaboration across borders...
  15. B Prosper

    BEE NETWORK

    Bee network will be launched this year being established in 2020, mining every 24 hours the same as pi currency Bee network will be the best network in the world Bee Network is the world's largest web3 interactive platform. Join by invitation and earn Bee for bigger fortune with one click. Use...
  16. Fbn

    Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  17. Mhandisi Mzalendo

    Mtandao wa YAS na roaming network wamefeli

    Habari wanajukwaa, Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana. Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha upo nchi tano. Tanzania Togo Comoro Senegal Madagascar Ila cha kushangaza huu mtandao unapotoka nje...
  18. snipa

    Account ya Dr Kigwangalla inapush X Token ambayo ni scam, kimbieni kama pi Network.

    https://x.com/HKigwangalla/status/1893226663623762175 Wadau X Token zipo nyingi sana ila asilimia kubwa ni scam, jambo lakutambua ni kuwa Musk Hana Token yeyote inayoitwa XToken, msije mkajichanganya. Kwa mujibu wa Grok Musk Hana Token yeyote inayoitwa x Token.
  19. Junior Lecturer

    DOKEZO Responded Tahadhari: Utapeli wa watu waliojificha nyuma ya biashara ya kimtandao ya ‘Alliance in Motion Global’

    Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing. Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
  20. snipa

    Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
Back
Top Bottom