neno la mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marco Seth

    Secret of hands spiritually (siri ya mikono kiroho)

    SECRET OF HANDS SPIRITUALLY Hands are used to represent , action , spiritual energy and connection. Connection in spirituality palms of the hand can receive and give energy. In giving energy it can heal Mark 16:18 “They will lay their hands on the sick, and they will recover.” Also Receiving...
  2. a sinner saved by Christ

    soma neno la Mungu

    Luka 12:2 TKU Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana. Yn 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. https://youtu.be/dLi_y9V7uDA?si=7SkTesk8pOeIV6LI
  3. a sinner saved by Christ

    Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko. WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
  4. kanonb

    Hili ndilo neno la Mungu kwa JamiiForums

    Kumbukumbu la Torati 20:1 [1]Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri. When thou goest out to battle against thine enemies, and seest horses, and...
  5. Elia_mashibe

    Kalamu ya uongo ya wachungaji imeifanya biblia kuwa uongo

    Shalom, Karibu katika Neno la Mungu, na moja kwa moja tusome maandiko katika Yeremia 8 8 Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo. Takribani miaka 600 kabla ya Kristo, Yeremia alihubiri Neno la Mungu...
  6. Kimbesa11

    Maaskofu na Watumishi wa Mungu acheni kuhubiri siasa kwenye nyumba za Mungu mnajitesa bure pia mnatupotezea muda wetu Bora tungekaa nyumbani tu

    Mimi siwezi kuhama chama kisa eti Askofu au kiongozi wa dini kahuburi blah blah zake, kuonyesha hisia zake kwenye chama fulani, hizo ni paniki zake hazihusiani na mstakabali wa chama changu. Unakuta mtumishi wa Mungu anawasengenya watu kwenye madhabahu ya Mungu mpaka unajiuliza hivi anajua...
  7. masopakyindi

    Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Neno la Mungu ni nini?

    1. Neno la Mungu ni Upanga wa Roho; Linatumika kupigana vita vya kiroho dhidi ya shetani na majeshi yake. (Waefeso 6:17) 2. Neno la Mungu ni Taa ya miguu yetu; Linaongoza njia ya maisha ili tusipotee. (Zaburi 119:105) 3. Neno la Mungu ni Moto wa kiroho; Linachoma kila uchafu, udanganyifu, na...
  9. L

    Viongozi Wa Dini Wanapaswa Kuishukuru Na kuiombea CCM kwa kudumisha Amani na Utulivu na wao kupata nafasi ya kuhubiri neno la Mungu kwa uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu. Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
  10. tpaul

    Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii...
  11. Lugano Edom

    Neno la Mungu

    Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21
  12. SankaraBoukaka

    Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  13. Oscar Lyrics

    Wachungaji/Wahubiri neno la Mungu ninaowakubali

    Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote, Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana. Wapo wengi lakini leo nitawataja baadhi ambao aina yao ya utumishi inataka kufanana, 1. CHRISTOPHER MWAKASEGE...
  14. L

    Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze. Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye...
  15. Mtu Alie Nyikani

    Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  16. Gulio Tanzania

    Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  17. Bunchari

    Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  18. R

    Jinsi ya kufungua codes za SIRI zilizoandikwa katika kitabu kiitwacho Biblia/ Neno la Mungu

    Salaam, shalom!! Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si Rahisi kusoma chapter angalau mbili tu katika kitabu kiitwacho BIBLIA, Je ungependa kujua nini Hasa...
  19. Pdidy

    Jitahidi ujue neno la Mungu maana Manabii wengi wapigaji

    Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa. Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii akaambiwa shida zake zinahitaj gharama kubwa, aliemloga ametumia hela kubwa kaambiwa atafute...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kwanini Maaskofu wa Katoliki wanahubiri neno la Mungu kwa upole tofauti na wenzao wa madhehebu mengine?

    Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana. Tafakari…
Back
Top Bottom