ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Waislam njooni mnijibu kuhusu hili suala

    Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za kiislamu kukuta wanapiga marufuku watu kula chakula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan ata kama sio Waislam Wengine hukumbana na adhabu Kali wanapokamatwa wakila chakula Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo; 1; Je ninyi wenzetu hamuwezi kufunga Hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Mkipewa hela ya ujenzi jengeni,msiwaibie ndugu zenu

    Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
  3. JamiiForums Tanzania Mshikamano: Tuwatakie ndugu zetu mfungo mwema

    Mwezi umeandamana! Hapo zamani lilikuwa ni tukio kubwa sana.. Maendeleo ya tech na siasa za dunia yamefubaza vingi Huu ni mwezi wa toba, kujitafakari na kuwa karibu zaidi na Mola Hizi funga za dini mbili huwa kuna wakati zinaenda pamoja. Kwa mfano Leo ni Jumatano ya majivu kwa Wakristo...
  4. JamiiForums Tanzania Mniombee ndugu zanguni. Sijui kama nitarudi salama

    Siku ya 5 hii nipo South Africa.... Daaaah.... Kuna mitoto imeumbika huku wallah.... Ina neema za Allah... Yaani nikitembea shingo feni macho mia mia. Wallah mabata ushungu...! Nlitamani niishi huku. Hawa watakuwepo nao peponi? Mitoto ina maumbo teke teke na ina rangi ya mtume... Hatari sana...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Uamuzi wa majaji unashawishiwa na vilio vya ndugu au marafiki?

    Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria. linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi. Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani? Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenzetu anatufuta ndugu zake. Anayemfahamu asaidie.

    Alipata ajali akapoteza kumbukumbu
  8. JamiiForums Tanzania Tunatafuta ndugu zake

  9. JamiiForums Tanzania Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

    Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi. Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Unakumbuka siku umeanza kujitafuta ukaona uhame nyumbani uamie kwa ndugu ukiamini itakua vyepesi kutoboa je ilikuaje ulipofika kulisaka life

    Wakuu ni usiku sasa nipo mahali kuna jambo nimekumbuka tu hapa kuhusu mimi ilivyokua kuanza kusaka life nilipoenda kwa ndugu nikiamini itakua vyepesi kutoboa Ilikua nimemaliza diploma tu nipo naplani naishi vp mjini ghafla bi mkubwa akanisihi nirejeshe mpira kwa kina ili tuanze upya nikawa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Boniface Mwambukusi: Wametuumiza, Wakaua ndugu zetu na sasa Wanatugombeza na kulazimisha Maridhiano Waliyoyakataa Kabla ya Uharibifu wao!

    Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Kama upo baa na ndugu comrade kipepe mwambie muhudumu sasa imetosha, mwamba akampumzike nyumbani

    Aisee mwamba anaandika nyuzi kila baada ya dakika 2 duh alafu mambo hayaeleweki😁
  13. JamiiForums Tanzania Ukiachana na madhaifu yake yote ila Ndugu Jakaya Kikwete alikuwa rais wa tofauti sana na je logic ya kuondoa bendera ya Chadema kwa Mtei ni ipi?

    Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho. Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu hapa duniani wana gubu kama watoto wa nje ya ndoa, watoto wa kambo, watoto wa mke mdogo na watoto wanaolelewa na ndugu?

    Hawa ni wafalme na malkia wa kunung'unika muda wote, wanafiki wa kuchonganisha na muda wote huwa wanawaza jinsi gani mali zitakavyogawa. Bastard children!!!
  15. JamiiForums Tanzania Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

    Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee". Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa. Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa. Baadaé...
  16. JamiiForums Tanzania Sisi tunajitahidi Morocco wawe ndugu zetu. Wao wanajiona wanakaribiana na Wazungu. Why?

    Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha sana. Hawa jamaa wanatuma na kuandika vitu vingi vya kutudhihaki. Hii yote ni sababu ya Ushindi...
  17. JamiiForums Tanzania CP Faustina Shilogile: Ukimuona polisi chukulia kama umemuona ndugu yako

    Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui. Wito huo umetolewa na Kamishna wa Polisi Jamii Tanzania, CP Faustina Shilogile, katika mkutano na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo waandishi wa habari...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

    Life is a bxxch and then you die.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

    Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi 1. Soft drinks 2. Nafaka Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5 Mkoa ni MWANZA Natanguliza shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Ukiajiri ndugu zako kwenye biashara zako una 95% za kufail

    Hii ni real kabisa, Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch, wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa sana za yeye kwenda kuharibu. Bora uajiri mtu usiemjua kuliko ndugu yako, Ndugu zetu tunawapenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…