ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukimuota ndugu yako mwenye sifa hizi amekufa usithubutu kukemea hiyo ndoto hata siku Moja. Ukikemea utakufa wewe

    Elewa mada vizuri nimesema NDUGU YAKO. Sijasema Mtoto wako Wala baba ako Wala mama ako, nimesema NDUGU YAKO. Haijalishi ni ndugu yako mmechangia baba au mama au mmezaliwa Kwa baba na mama mmoja Kwa mimba Moja ( mapacha) au mimba mbalimbali. Sifa zake 1. Awe Ni ndugu ambae mmeshare baba au...
  2. JamiiForums Tanzania Ole Sendeka, hawa ndugu zako wawili walioua faru uliwatuma?

    Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili. Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia 1...
  3. JamiiForums Tanzania Watu hawa wanapatiwa matibabu Taasisi ya Mifupa (MOI), ndugu zao wanatafutwa

    Wadau Tunaomba tusaidiani kutawanya PICHA hizi ili Wenye Ndugu zao Wapate TAARIFA Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tubadilike, tusiangalie faida ya leo tu, tuangalie na kesho

    Unaenda sokoni, unakuta nanasi limewekwa pale juu, linapendeza, unalinunua, kumbe upande mmoja limeoza, muuzaji anajua lakini anakausha. Unaenda Dukani, unanunua maziwa ya unga, kumbe yameeksipaya, mwenye Duka anajua, anakausha! Unafika Muheza, unanunua machungwa kwenye mfuko, unafika...
  5. JamiiForums Tanzania Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anafanya na kuongea mambo ambayo hayaeleweki

    Habari za wakati huu wana JF wenzangu. Washiriki wenzangu wa kila hali. Leo na mimi nimepata tatizo, tena kwa ndugu yangu, tena ninayekaa nae nyumbani kwangu. Tatizo analolipitia ni anasikia SAUTI za watu zikimuita akiwa ndani, anasikia magari yanakuja nyumbani, anataja polisi wanakuja, mara...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape kuwa wakala wa DSTV sijapenda

    Alipaswa hili swala alizungumzie kwenye ofisi Yake ndogo DSM. Ameenda mbali zaidi na kusema hizo channel za bure zitakuwepo kwenye jicho king'amuzi. Makampuni Mengine yata hisi amebadilisha sheria kwa ajili ya kuipa upper hand DStv. Wakati kihuhalisia swala lilikuwa ni leseni walitakiwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

    Baba Yako au ndugu Yako unapomuona akiwa upande wa mashihidi kesi ya akina Mbowe unajisikiaje? Unajisikia furaha kwamba ukoo wenu umezaa shujaa ukamsomesha na kumwombea Kwa Mungu apate na Sasa anafanya kazi mliyotamani awe anaifanya? Unaposikia ndugu Yako akitajwa KWENYE jopo la mawakili wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

    Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono. Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

    Maskani yake kubwa Pale Ubalozi Ostabay NANI anamjua!?
  11. JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  12. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi amuwakilisha Daniel Chongolo kwenye Msiba wa Mke wa RC Martine Shigela

    Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa ya mitala: 'Sisi ndugu wanne tulioa mke mmoja'

    Familia ya Champasingh Lama, kutoka Humla eneo la Fang Tungar huko Tibet, imezingatia ndoa ya mitala kwa vizazi 17. Lakini, kulingana na mwanawe wa kiume na mjukuu, utamaduni huo sasa umepitwa na wakati, alisema Champasingh. Alisema, "Sisi ndugu wanne tumeoa mwanamke mmoja." Vijana wetu...
  14. JamiiForums Tanzania Mama yake ameshafariki ndugu wanamsubiri ajenge choo

    Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single. Mzee alikua na familia yake na...
  15. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mkurugenzi wa HESLB ndugu Badru

    Mpaka kufikia leo January 9/2022 baadhi ya wanachuo hawajapewa mikopo tangia wamefungua vyuo yani wengine wanakaribia kusaini awamu ya pili wapewe fedha,wengine walisha saini ila hawajapewa fedha zao za awamu ya kwanza mpaka sasa. Je wewe mzee unataka nini hasa kwa watoto wa wanaume wenzio? Je...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

    UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri. “Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza la...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania. Sasa juzi hapa kanishauri...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania tuibadilishe hii katiba. Yaani Rais alitaka kuchoma shamba la mikorosho halafu hafanywi chochote?

    CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu. Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?! Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
  20. JamiiForums Tanzania Mgeni miye naomba mnipokee

    Habari wana jamiiforums. Mgeni miye naomba mnipokee kwa mikono miwili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…