ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iwajibike kwa Ajali za barabarani zinazomaliza watanzania

    Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu. Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani? MTWARA watoto wa shule wameoteza...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Jiji la Dar zitafute ufumbuzi wa tatizo la ardhi ya mazishi ya ndugu wanaotutoka

    Nimeshiriki mazishi kadhaa katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dsm, na kujionea jambo ambalo hakuna mamlaka inayolizungumzia wala kulitafutia ufumbuzi wa kudumu. Jambo nililoliona kuwa na changamoto kubwa ni ufinyu wa maeneo ya kuzika wapendwa wetu, nilichosikitishwa nacho zaidi ni pale baadhi...
  4. JamiiForums Tanzania Huu si ni utapeli ndugu zangu?

    Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija. Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana mtoto, mwingine ndio yuko mjamzito, atazaliwa huko baadaye. Huyu mwenye mtoto; mara kwa mara...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nawaomba tuendelee kuwaombea dua wapalestina

    Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa. Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin! Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa anxiety disorder?

    Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi. Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa wakala baada ya kumaliza wakati naondoka nikamuona mtoto mmoja wa ile familia akiwa mazingira yale...
  7. JamiiForums Tanzania Lini viwanja vitakarabitiwa angalau sehemu ya pitch

    Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua. Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya watanzania kuwa waungwana na wakarimu kwa wageni bila ubaguzi,hichi ambacho wachezaji wengi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa palestina

    Amiin thumma amiin!
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  10. JamiiForums Tanzania Nasema uongo ndugu zangu?

    Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au zinamfanya ajiamini. ( a ) Ukiwa msomi walau shahada moja na kuendelea lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Au mnasemaje ndugu zangu!

    Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔? Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄 🚴🚴🚴🚴
  12. JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  13. JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Viongozi wa Dini tufunge na kuliombea hili Taifa

    Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Sensa, RITA na NIDA; ndugu wasiofanana

    Na Kevin Lameck. Hisia mseto zimekuwapo kuhusu Zoezi la Sensa ya watu na makazi litakalofanyika jumanne ya August 23/2022. Takribani mwezi mmoja baadae kutokea leo. Watanzania Wengine wanaona ni upotevu tu wa fedha, wengine wakiamini Sensa haina maana katika maendeleo ya kijamii. Baadhi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Pombe ni Ndugu wa madeni

    Salamu wakuu. Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe. Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana. Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka nimchome kwa ndugu zake

    Hivo
  18. JamiiForums Tanzania Mama na mtoto wafikishwa kortini kwa tuhuma za mauaji ya ndugu yao wa damu

    Mama na mtoto wake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa madai ya kumuua Beatrice Magombola ambaye ni ndugu yao wa damu moja. Washitakiwa hao ni Alphonse Magombola (34) mkazi wa Bunju B Mpakani na Sophia Mwenda (61) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam. Marehemu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya udakitari

    Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya. Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Namsaidia vipi huyu ndugu yangu?

    Wakuu ninaomba ushauri kutoka kwenu. Ninaye ndugu yangu ambae hali yake kifedha ni dhwaiful hali yaani hana kila kitu. Majuzi aliniomba akiniambia ndugu yangu bwana Mwizukulu Mgikuru ninaomba uninunulie walau freezer mbili ili niweze kufanya biashara ya kuuza ice cream na maji baridi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…