ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nasema uongo ndugu zangu?

    Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au zinamfanya ajiamini. ( a ) Ukiwa msomi walau shahada moja na kuendelea lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Au mnasemaje ndugu zangu!

    Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔? Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄 🚴🚴🚴🚴
  3. JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  4. JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Viongozi wa Dini tufunge na kuliombea hili Taifa

    Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Sensa, RITA na NIDA; ndugu wasiofanana

    Na Kevin Lameck. Hisia mseto zimekuwapo kuhusu Zoezi la Sensa ya watu na makazi litakalofanyika jumanne ya August 23/2022. Takribani mwezi mmoja baadae kutokea leo. Watanzania Wengine wanaona ni upotevu tu wa fedha, wengine wakiamini Sensa haina maana katika maendeleo ya kijamii. Baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Pombe ni Ndugu wa madeni

    Salamu wakuu. Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe. Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana. Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka nimchome kwa ndugu zake

    Hivo
  9. JamiiForums Tanzania Mama na mtoto wafikishwa kortini kwa tuhuma za mauaji ya ndugu yao wa damu

    Mama na mtoto wake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa madai ya kumuua Beatrice Magombola ambaye ni ndugu yao wa damu moja. Washitakiwa hao ni Alphonse Magombola (34) mkazi wa Bunju B Mpakani na Sophia Mwenda (61) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam. Marehemu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya udakitari

    Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya. Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Namsaidia vipi huyu ndugu yangu?

    Wakuu ninaomba ushauri kutoka kwenu. Ninaye ndugu yangu ambae hali yake kifedha ni dhwaiful hali yaani hana kila kitu. Majuzi aliniomba akiniambia ndugu yangu bwana Mwizukulu Mgikuru ninaomba uninunulie walau freezer mbili ili niweze kufanya biashara ya kuuza ice cream na maji baridi...
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

    Mtoto James Januari (4) aliyejeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu sita wa familia moja yaliyotokea kwenye Kijiji cha Kiganza, Halmashauri ya Wilaya Kigoma amefariki usiku wa kuamkia leo Julai 5, 2022. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni, Dkt. Stanley Binagi amethibitisha kifo...
  13. JamiiForums Tanzania Kibamia siyo poa

    I've always been ashamed of my small d*ck, I'v dated my girlfriend for a year but I never touched her because I thought she might dump me after discovering that I have a tiny d*ck . So yesterday, I gathered enough courage and invited her over to my house around 7pm. We got to my room and I...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa aliyepotea katika mazingira tata hadi wapewe hela na ndugu

    Askari wa Kituo cha Polisi Misigiri katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wanadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa tukio la Stella Jingu (38) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha miaka miwili iliyopita wakitaka kwanza wapewe fedha na ndugu wa mwanamke huyo. Inadaiwa askari hao (majina...
  15. JamiiForums Tanzania Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can *** any woman around you” maana...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Connection ya Kazi ya maabara ngazi ya cheti anisaidie

    Habari ndugu zangu naomba msaada wa connection kazi ya maabara ngazi ya certificate mm ni mtalaam wa maabara ngazi ya certificate ni PRP License
  17. N

    JamiiForums Tanzania Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  18. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwanini mliwahangaisha ndugu zetu kuomba ajira

    Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma? Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu? Bashungwa vijana wanakuchukia sana
  19. JamiiForums Tanzania Siku 365 za Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi

    SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
  20. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…