ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
  2. JamiiForums Tanzania Naona ndoto yangu kumiliki ndege yangu binafsi ikizama

    Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja...
  3. JamiiForums Tanzania Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

    Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kua Commandoo ( Special force) nifanyaje nitimize ndoto zangu?

    Mazoezi ndo chakula changu nina piga push ups 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo. Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
  6. JamiiForums Tanzania Mlionunua apartment ghorofani juu kabisa Palm Village au Magomeni apartment, mjue mnaishi ndoto yangu

    Salam zenu ninyi mnaoishi ndoto zangu. Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
  7. JamiiForums Tanzania Ndoto zina maana yoyote?

    Habari za usiku wakuu, Nimetoka kazini jioni ya leo Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
  8. JamiiForums Tanzania Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  9. JamiiForums Tanzania Tamisemi inavyoua ndoto za vijana

    Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia. Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi. Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine. Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Samia Housing Scheme: Ndoto inatimia!

    🏡 SAMIA HOUSING SCHEME: NDOTO INATIMIA! 🎉 Kawe, Dar es Salaam inazidi kung'aa! 🔥 Samia Housing Scheme, mradi wa makazi wa kisasa unaoleta mapinduzi ya ujenzi, sasa umefikia hatua kubwa – Uzio umekamilika, vyuma vya balcony vimesimikwa, na ujenzi umefikia asilimia 89! 🚀🏗️ 🏠 Nyumba 560 za kisasa...
  11. JamiiForums Tanzania Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

    Je wajua ya kwamba ndoto zaweza kuwa kweli? Wazungu wanasema dreams can come true... Fanya yote maishani.. Pambana sana lakini usiache kumwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema zote akujaalie mwisho mwema, uzee uliojaa fanaka na baraka.. Tele.. Wanazengo wanasema fainali uzeeni.. Basi Mwombe...
  12. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  13. JamiiForums Tanzania Tangu nifanikiwe kupata kipato cha ndoto zangu nimekua bahili hadi najiogopa

    Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki. Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za wakati huo zilikua za kupata pesa ya mboga tu…lakini nilikua nina tamaa ya kupata kila kitu,gheto kwangu...
  14. JamiiForums Tanzania UJASUSI; Usiwaambie watu Ndoto/malengo yako. Future ni Siri na ndoto inapaswa kuwa Siri

    UJASUSI; USIWAAMBIE WATU NDOTO/MALENGO YAKO. FUTURE NI SIRI NA NDOTO INAPASWA KUWA SIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna anayeijua Kesho. Hiyo ndio Kanuni namba Moja ya UJASUSI. Kama hakuna ajuaye Kesho basi nawe unatakiwa kuhakikisha hakuna ajuaye ndoto au Hatua yako inayofuata ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Inakuaje ndoto inakuwa ACCURATE?!!

    Habari zenu Wanajamiiforums. Nimeshangaa jambo nililowahi kuliota leo limetokea live bila chenga. Mpaka mda huu bado naendelea kushangaa limewezaje kuwa sahihi. Aisee ufahamu ni kitu tata.
  16. JamiiForums Tanzania Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani

    Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako. Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea nayo kwasababu tayari umeitangaza kwa watu na imepoteza ladha kwenye moyo wako, na mbaya zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  18. JamiiForums Tanzania Unajihisi una ndoto kubwa lakini huna nguvu ya kuzitimiza?

    Unawaza, “Nitafanya kesho,” lakini kesho haiji. Unataka kufanya mambo makubwa, lakini hata kuanza kunahisi kuwa ngumu. Unafikiria kuandika kitabu, kuwa na afya bora, au kujifunza jambo jipya, lakini badala yake unashinda ukitazama simu au TV. Kwa nini hili hutokea? Sio kwa sababu wewe ni mvivu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwani hatuna maono/ ndoto za kuhost World Cup?

    Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo. Tuna viwanja viwili vipya...
  20. JamiiForums Tanzania DESIGN AND BUILD SERVICES KARIBU TUKUTIMIZIE NYUMBA YA NDOTO YAKO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM +255624004650

    NUNUA VIFAA TUKUJENGEE WEW UKITULETEA VIFAA UNA RELAX TUNAKUKABIDHI KAZI YAKO CALL US TODAY 0624004650
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…