ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

    achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani. ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtoto aliyeimba na Kala Jeremiah 'Wana Ndoto'?

    Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
  3. JamiiForums Tanzania Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

    Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake. Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuota ndoto ya kioo kilichopasuka

    Habari wakuu Ndoto zinaweza kuwa na umuhimu kwa watu fulani na wengine hapana, hivyo Kila mtu yupo upande anaoamini. Usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo nusu uchi natembea nikipishana na watu nikaelekea mahali kuchukua kioo nilikua nimekua nikakuta kimevunjika nusu kipo chini nusu nikabaki nacho...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  6. JamiiForums Tanzania Nani amewahi kupata ndoto usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili?

    Habari wanajukwaa Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo. Nawasilisha.
  7. JamiiForums Tanzania WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO..EG.DUBE

    WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO Dube kacheza Azam misimu 4 bila kombe kacheza Yanga mechi 5 tu makombe mawili, medali mbili.. KAFUNGA magoli 3
  8. JamiiForums Tanzania Ila ndoto nyingine zinachosha, ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo imenitisha.

    Usiku ni mrefu ila ukilala na kuota ndoto za ajabu ajabu huufanya uwe mrefu zaidi. Kuna baadhi ya ndoto nikiota ni ngumu sana kuzikumbuka na hizi ndio hunipa hofu hasa nikiota ndoto mbaya. Huwa ninapata hofu kwa sababu ndoto nyingi nisizozikumbuka huwa zina uwezekano mkubwa wa kutokea na...
  9. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

    Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind). Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoto za kuwa mtu flani kwenye Tehama Tanzania

    NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza. Na hii ni sifa...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

    Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
  12. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  13. JamiiForums Tanzania Inasemekana hii ndio ndoto ya kila mwanaume wa sasa.

  14. JamiiForums Tanzania Kungunduliwa sehemu zilizowekwa maiti nyingi huko kenya mukuru ni baada ndoto kumtokea dada yake aliyepoletewa na mdogo wake.

    kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka. Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeota mimi mwanajeshi vitani, ilivyofika kuanza operation msituni nikashtuka fasta usingizini

    Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndoto zina maana?

    Hivi Je Kweli ndoto Zina maana yoyote ile? Maana mimi kuna ndoto inanirudia rudia sana nakuwa naongea na mtu ambae nina muda siongei naye na wala sina access nae tena. Tena kuna ujumbe wowote hapo au mawazo tu maana nina week sasa naota tunazungumza nae nashtuka sasa nashindwa kuelewa
  17. JamiiForums Tanzania Nalipenda draft shida naliotaga usiku nikianza kulicheza badala ya kuota ndoto za kitajiri

    Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku eti umelala unaanza kuwaza mbinu unaanza kubuni mitego ya draft si ujinga huo? Badala uwaze una...
  18. JamiiForums Tanzania Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi

    Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu. Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo anaenifuata. hawa wote ni wafu, Mdogo wangu alitangulia kufarikiriki December 2010 kipindi hicho mimi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Tanzania ya Ndoto ya Mtanzania

    Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa tofauti na nchi zingine za Afrika Mashariki na Afrika; kijiografia imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la ardhi kutosha kwa kilimo, vyanzo vya maji na bahari yenye ukanda mrefu wa pwani na vivutio vya utalii vyenye umaarufu mkubwa duniani. Kijamii, imebahatika kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…