ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

    Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
  2. JamiiForums Tanzania Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  3. JamiiForums Tanzania Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maono- ndoto kuhusu Mbowe

    Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimeota mzee wa ' jalalani' akiwa Makamu wa Chama fulani baadae nikasikia sauti za be 'ndiye' ndoto ikakata

    Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

    Wakuu nimeota nafanya mapenzi. Na huyo mtu naefanya nae alipaka asali kwenye naniliu yake akawa analazimisha mimi et nilambe. Naniliu yake. Wakuu hi inamaana gani. Alafu huyo demu alikua mkali sana aiseee. Wakuu nafanya nn hi hali ijirudie tena. Maana hata sikumfanya vzr Mwenye simu hayupo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

    Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku. Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku. Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu. Wakuu...
  8. JamiiForums Tanzania Faris Buruhani Awaasa Wahitimu Kidato cha Nne Kusimamia Ndoto Zao

    Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha, jamii, familia na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zina maana gani?

    Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna ndoto Huwa ni za kweli

    Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!. Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo. Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na...
  11. JamiiForums Tanzania Uhasama wa koo au familia unaweza kuharibu ndoto za watoto na wajukuu

    📖Mhadhara (69)✍️ Zipo familia au koo ambazo hazina maelewano miaka nenda'rudi. Yaani ukoo fulani hauelewani na ukoo fulani, familia fulani haielewani na familia nyingine, au ndani ya ukoo mmoja hakuna maelewano kati yao. Gomvi nyingi za familia na ukoo zinakwamisha mafanikio kwa watoto na...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

    Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

    Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande...
  14. JamiiForums Tanzania Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ya ajabu!

    Ni ya ajabu kwangu! Sijawahi kuiota ndoto ya aina hii!!! Nimeota nimetoka nje ya mwili wangu na kupaaa hadi eneo ambalo sikuwahi kufika, na hata sasa sipafahamu kama eneo hilo lipo au ni eneo la kufikirika tu. Lakini kama papo, nikipaona nitapakumbuka. Nilikariri baadhi ya maeneo, mfano, mti...
  16. JamiiForums Tanzania MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

    Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi? Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...
  17. JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

    Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati.. Naamini Mungu yupo Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo.. Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako. Sema kile unachohutaji be...
  18. JamiiForums Tanzania Alteza na ndoto ya drifting

    Wakuu habari ya muda huu, ukweli toka moyoni nimekua navutiwa sana na gari aina ya Toyota alteza, hasa 4 cylinder engine.. Manual Transmission, kiasi cha kukosa usingizi nikifikiria siku ya kwanza kumiliki hii chuma itakuaje🙄🤔🤗 ..Lakini pia nimekua nafuatilia na pia napenda sana kujifunza...
  19. JamiiForums Tanzania Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
  20. JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…