wanajamvi wote habarini,heri ya sikukuu ya eid.
mimi si muandishi mzuri sana, nimekuwepo jamii forums muda kidogo, ila kulikuwa na kitu moyoni mwangu nikitaka ku share pamoja
ndoto zipo za aina mbalimbali. unaweza kuota unafukuzwa na wanyama wakali, unakula, unahesabu pesa, nk
nataka niseme...