ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

    Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini. Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

    Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science. Mwanasaikolojia...
  3. JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba hii ni ndogo au kubwa?

    Naomba kuuliza nyumba yenye urefu na upana wa futi 30 hiyo ni nyumba ndogo au kubwa?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

    Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁 Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂 Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
  10. JamiiForums Tanzania Mazingira: jiji la DSM haliitaji kampeni za usafi bali sheria ndogo ndogo zisimamiwe

    USAFI ktk Jiji la DSM limekuwa Donda Sugu, Kila RC akiteuliwa ana kuja na KAMPENI yake ya usaf lkn impact ya izo kampeni ni kitu ambacho hakidumu hata miezi 3. Kwa haraka haraka zilikuwepo kampeni kama shika fagio, izi zilijikita ktk usafi was maeneo ya katikati ya Jiji maeneo ya fukwe...
  11. JamiiForums Tanzania Timu ndogo kubalini kufungwa na Simba na Yanga ili mpone.

    Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi maamuzi ya leo ya kesi ndogo ya Mbowe et al yalihusu nini? Issue Estopel? Res judicate? au Functus Officio? CA ina rejea ya hayo isome hapa chini

    What was the issue of contention, what was Liganga supposed to decide? Kama ni issues hizi: Estopel? Res judicata? au Functus Officio? Mahakama ya Rufaa ilishaweka msimamo kamili: ina rejea ya hayo isome hapa chini Jaji kakosea katika maamuzi yake ya leo? Ni ya Kiingereza labda itafsiliwe na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
  14. B

    JamiiForums Tanzania Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

    Hawa Pepsi wajitafakari na soda zao za BIG aaisee hazina radha au mimi tu jamani au wanatumia maji ya wapi? AU wanachanganya na maji ya Dodoma
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 11/11/2021 yanatolewa maamuzi ya kesi ndogo Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri...
  16. K

    JamiiForums Tanzania JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

    Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao. Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  18. JamiiForums Tanzania Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Kesi ya F. A. Mbowe na wenzake, wakili aichambua hukumu ndogo ya Jaji M. Siyani...

    Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe.... Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…