ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wamachinga wanavyorudishwa nyuma na taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha (Microfinance)

    Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii ( wajasiriamali) kuweza kupata huduma za mikopo midogo midogo ambayo hawawezi kupata katika Benki. Hizi...
  2. JamiiForums Tanzania Bingwa wa mchongo wa NBC Tanzania azalilishwa akiwa nyumban na Tim ndogo sana

    Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!! NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ipunguze idadi ya watumishi wa umma, iundwe serikali ndogo yenye weledi.

    Habari wananchi na viongozi! Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu. Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogondogo Kariakoo

    Habari za kushinda wana JF Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo. Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli. Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
  5. JamiiForums Tanzania Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

    Heshima sana wanajamvi, Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rekodi Mpya: Tanzania avuliwa taji la gharama nafuu za Internet, Kenya ndie bingwa mpya East Africa

    Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa. Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94. Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
  7. JamiiForums Tanzania Speed ya Gari kubwa vs Gari ndogo

    Kiukweli huwa nasikitika sana nikikuta mtu anasema speed ya gari kubwa mathalani mabasi huwa ni kubwa kuliko speed ya gari ndogo. Unaweza kupitia comments za post niliyoiweka hapo juu. Hoja yao kubwa huwa tairi ya gari kubwa ni kubwa kuliko ya gari ndogo hivyo hivyo tairi ya gari kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni. Ni huzuni. Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi. Diploma naye hivyo hivyo. Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona leo, Watumishi wa Umma wategemee nyongeza ndogo chini ya 10% na sio 23 kama wanavyotarajia

    Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

    Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee. Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:- Wauza mishikaki Wauza matunda Mama ntilie Utaanzaje anzaje:- Tembelea hayo makundi hapo juu Tathmini mauzo yao kwa siku Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania mil 700 ni hela ndogo sana

    Yaaani dalali anaweza kuongeza au kupunguza milioni 700 Kama sio kitu, yaani utafikiri kaongeza jero kumbe ni milioni 700 kabisa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

    Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tabata-Dar: Bajaj Tvs inauzwa kwa bei ndogo sana

    Bajaj ya abiria aina ya Tvs. Haina shida yoyote njoo na fundi kagua, lipa anza kuswampa Bei elekezi 1,500,000 0713096076 tuwasiliane
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  17. JamiiForums Tanzania Lay JayDee na Nyota Ndogo wametuonesha UNAFIKI wa marafiki unavyoweza kuua biashara yako kisa urafiki

    Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake. JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa. Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…