Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi.
kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :)
.......
KWANINI UNAINGIA KATIKA NDOA?
NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia,
Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama..
Kwa maridhiano ya wazazi wao...!
Je ndoa kwani lazima iidhinishwe na mchungaji au sheikh au Askofu?
Hapana sio...
Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini.
Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa
kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo
vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao
kazi kwenu wapendwa...
Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa.
Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili?
Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE...
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.
Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.
Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?
Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa...
Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume.
Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie.
Mwanaume ukikataa uwepo wa...
😅😅🙆Ndoa ni uvumilivu🤭🤭mpendane kwa shida na Raha😅😅🤭jib km mwana ndoa🤭🙄🙄🤭mm tutoane nundu👉kikubwa misukumio ya chapati wa mama tunayo ndani😅🙄🙄au wewe unavumilia😅😅😅😅nasoma comment zenu Wana ndoa😅😅😅
Wadau,
Kuna jamaa yangu anaomba ushaur.
Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana.
Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
Habari!
Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao.
Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo...
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.
Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu.
Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima, anapewa mke na ardhi ya kulima ili aweze kulisha familia yake.
Mke nae aji mikono mitupu, ndugu...
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro.
Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama...
Salaam, Shalom!
Ukitamka tu NDOA Takatifu, umekaribisha vita ,tena Si vita ndogo ni vita kuu, vita ya kuwania funguo za vizazi.
Naweka seat,
Nitatejea kusimulia sawasawa na nilivyosikia rohoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.