ndoa

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu ile ndoa ya yule jamaa niliyoiharibu,mambo yamezidi kunikalia kooni.

    Wakuu habari za asubuhi? Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/ So kilipita kipindi flani cha mpito jamaa akawa anaendelea kunitafuta huku ananipa mikwara mingi sana mara...
  2. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa

    kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa Kaka angu magical power, nimeamua kuikimbia ndoa ili nimuokoe mwanangu naona walikuwa na nia mbaya juu ya mtoto. Kaka hata kujifungua tu kidogo nifie hospital nikasaidiwa na mkunga kwa uzoefu wake aliywesha dawa fulani ya kienyeji kwaa uzoefu wake alisema...
  3. Just Pray

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yakumbuke haya kabla ya kumsamehe mke/mpenzi aliyekusaliti

  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

    Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi. Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma. Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa. Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nilifunga ndoa na mtu nisie mpenda

    Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Robson, alisoma, alipata kazi nzuri iliyomuingizia pesa nyingi, alikuwa na muonekano mzuri, mtanashati...
  6. doup

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

    Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
  7. KikulachoChako

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

    Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani. Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi.... Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna...
  8. HAMISI HH

    JamiiForums Tanzania Ndoa kwa watu wa nchi tofauti

    Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
  9. Mafyangula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni kiuongo muhimu katika kuimarisha mahusiano ya ndoa

    Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu. Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jipya la kijiweni kuhusu ndoa ya wake wengi

    Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha kusoma tabia zako tu, anaanza kujihami mapemaaaaa. Mdogo wangu, dunia ya sasa si kila mwanamke ana...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wengi sio dhambi

    Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  13. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

    Niiteni masikini ila hii "money trap" Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..? Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!! Tuache tamaa. Tuache mizaa.
  15. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumba sugu humsaidia mwanaume kuchuja aina ya wanawake na kujifunza nani hasa wa kuoa

    Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na atachoka kisha utazijua tabia zake zote na kama utaweza kumvumilia kwa miaka hiyo yote basi kumuoa...
  16. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alidhani anapiga na kuacha lakini saaa ni mke wake wa ndoa

    Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae. Jamaa alikua anatuhadithia mambo wanavyofanya kwenye 6*6, mengine si mazuri. Yeye alidhani ni chapa ilale...
  17. Genius Man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyozaa mtoto wa 2 nje ya ndoa

    1.JALADA LA KWANZA Hii ni true story. Japo nina ndoa mbili lakini nimezaa watoto kadhaa nje ya ndoa.Hadithii hii ambayo ni ya kweli ni jinsi nilivyozaa mtoto wangu wa pili wa nje ya ndoa. Ni miaka 15 iliyopita nilikuwa mkuu wa taasisi moja isiyo ya kiserikali,ambayo makao yake yalikuwa nje ya...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao ndoa zao zina matatizo yupo Mchungaji Daniel Mgogo.

    Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa. Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri yake. Huyu Mchungaji anamtishia maisha ya Wachungaji wengine na anaondoa Umoja wa Kanisa. Sasa hivi...
  20. Tman900

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Kimapenzi au Ndoa.

    2024 Wanawake kama Wajasiria mwili tu, wao wanalenga Faida watakazo zipata mara Baada ya mwanaume kumtongoza.
Back
Top Bottom