ndoa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

    Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake mtambue na kufahamu ya kuwa sex,kupika na kufua sio hitaji kuu kwenye ndoa kama mnavyondanganya kwenye vicoba.

    Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume. Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu unaunguza mb zako kuangalia. Hivyo vitu tajwa hapo juu kwa uchache ni ziada tu kwani vinaweza...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sikuweza kuoa mwarabu kwa sababu ndoa zetu za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, sio peke yenu

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet. Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

    Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo kwenye ndoa upelekea kufa pamoja.

    Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa miaka 60 huko Tarrant County, Texas, walijenga urithi wa uaminifu wa dhati, wakilea vizazi vya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya ndoa ni hii kama hujui hili usioe wala kuolewa bakia single tu hustahili

    Habari wapendwa! Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali! Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa. UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA! Wanandoa ni watu wawili...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

    Ndoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression. Leo siamini amini, nimejikuta navizia kuchukua namba ya wahudumu kucheza na low profile , wakati nilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiona ndoa inadumu miaka mingi ujue jamaa anapiga show za kibabe

    Nimenotice hii kitu aisee Ndoa zinamambo mengi plus kuishi na mtu ambae si mwanao si dada ako na mkatulia mkaelewana si kazi ndogo. Wanawake wana mambo milion na matatizo yao ni mengi. Vitu vidogo sana wao wanavikuza, plus hawasahau hata nukta unaweza jua mko sawa kumbe mwenzio ana notebook...
  12. JamiiForums Tanzania Nembo ya Telsa yazua utata - ni kama mjunjo

  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli wapaka Rangi, wanaosafisha kucha na miguu chanzo cha Ndoa za watu kuvunjika?

    Wakuu hawa wanaofanya kazi ya kupaka rangi nakuwa osha miguu hasa jinsia ya kiume kunaweza kusababisha mtu akachepuka katika ndoa yake,kuna sehemu nimewoma jamaa anamwosha mdada miguu amemsogelea kabisa yaani "zero distance" sasa kun huyo jamaa ni mpaka rangi hapa mtaani kwangu, yeye anasema...
  14. JamiiForums Tanzania Mchumba ananilazinisha tufanye ngono kabla ya ndoa mie nimemkatalia

    Wanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono Yaani mwanamke ameniambia kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa. Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wakishapataga mtoto wa pili kiburi kinaanza

    Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo wanaodai kuwa uzazi huleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanamke – kimwili, kihisia, na kiakili...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi ➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali? ➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake? ➡️ Au kuolewa tena bila talaka? Hili si swali la...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu binti wa kilokole nimemuoa anataka aende round 20 kwa siku kwenye tendo la ndoa, me nifanyaje?

    Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3? Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku? Afanyaje? Mshaurini? Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
  20. JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usikubali kuishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka 5 bila kufunga ndoa

    Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nimalize chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…