ndoa kuvunjika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sepema

    Ni kwanini uchumba huwa unaweza kudumu muda mrefu kuliko ndoa?

    Salaam wakuu, Naomba niende Kwenye mada. Jamaa yangu kaishi na mchumba wake kwa miaka10 bila ndoa(2012-2022). Waliishi pamoja maisha mazuri japo vimgogoro vya hapa na pale vilikuepo. Sasa tatizo limeanzia baada ya wawili hao kuamua kufunga pingu za maisha mnamo February mwaka huu. Ndoa imekuwa...
  2. Etwege

    Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani) Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
  3. Frumence M Kyauke

    Kisa cha nyumba ya nyasi kijijini chasababisha ndoa kuvunjika

    Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza. Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
  4. Ileje

    Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  5. Kifaru86

    Ushawahi kushuhudia mahusiano yaliyovunjika siku chache kabla ya ndoa

    Katika mahusiano kuna watu huwa wanafikia hatua 1.tiyali wameshatoa mahali 2.tiyali wameshatambulisha kwa wazee 3.tiyali wameshatoa posa Alafu linabakia swala la kufunga ndoa dakika ya tisini mambo kukamilika mtu mmoja anazingua hatokei siku ya harusi mahusiano yanavunjika juu kwa juu...
  6. mapipando

    Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

    Iko hivi, Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti. Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao...
  7. Baba jayaron

    Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  8. The Mongolian Savage

    Kama huu uvumi ni wa kweli kuhusu Bill Gates ndoa kuvunjika basi kaniangusha vibaya

    Yeereeeeeh! Alipokuja bongo kuuza sura kwa kula wali maharage alishindwa kabisa kuopoa madem wakali nchini? Uvumi umeshaanza kuenea kiichosababisha ndoa ya Bill Gates kuvunjika ni kutembea na huyu demu wa miaka 36 Zhe 'Shelly' Wang mtafsiri katika foundation yake ya Bill and Melinda Gates.
  9. Infantry Soldier

    Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  10. Babumawe

    Kama ndoa yako au mahusiano yenu yanakaribia kuvunjika dawa hii hapa

    Wale wote waliopo kwenye ndoa na mahusiano ambayo yanapumulia mashine muda wowote yanaenda kuzimu basi leo kuna mwarobaini wa tatizo lenu hapa. Ukitaka kuishi na mke wako bila ugomvi inabidi ufanye kitu kimoja rahisi sana. Wala usipate shida maongezi yenu inabidi yawe kama ifuatavyo: ASUBUHI...
  11. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo?? Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe...
Back
Top Bottom