ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA acheni uzandiki. Ina maana uwanja wa ndege wa Chato ungejengwa Bukoba ndio ajali isingetokea?

    Huu ni uzandiki usiofaa na usio na kipimo kabisa. Yaaani mnakuwa wanafiki na wazandiki
  2. MwanaJF aliyetabiri ajali ya ndege nashauri naye apewe ajira na Serikali

    Wadau natumai Ni wazima; Nilipata faraja Sana kuskia kijana alieongoza kuokoa watu kuwa serikali ilimuona na ikampatia ajira,naipongeza Sana serikali kwa hili. Lakini mimi nmekaa nikifkiria nikaona memba wa humu aliyetabir hii ajali nae afikiriwe na Serikali maana huyu ndo ana umuhimu...
  3. Haya tumeshamaliza ya 'Ajali ya Ndege' na 'Kumshadadia Muokoaji' Majaliwa, sasa turudini huku kwenye 'Umuhimu' zaidi

    Ajali imeshatokea tayari na wengine wameshatuaga mazima duniani huku wengine wakiwa wamejeruhiwa na tunaendelea kuwa nao Hai hapa duniani. Hongereni pia Watanzania kwa Kumsifia zaidi Muokoaji Majaliwa na Kumpa Zawadi nyingi huku Ushujaa wake ukitulazimisha tumjadili zaidi Yeye Mitandaoni kote...
  4. Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

    Nampa pole Waziri MKUU na Rais KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona! Naamini kama Waziri MKUU angemuomba CDF amsaidie kwenye hili nadhani tungeshuhudia...
  5. Tafakuri: Ajali ya ndege Precision Air/Tuna imani na watoa taarifa?

    Edward Snowden, mtaalamu wa Kompyuta na wakala wa zamani wa shirika la usalama wa taifa Marekani, NSA. Alipamba vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufichua udukuzi mkubwa unaofanywa na NSA duniani kote..huku akitajwa kuwa ni shujaa, msaliti, mzalendo na muasi. Aliamua kuweka ukweli...
  6. L

    Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

    Ndugu zangu katika Ajali ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa...
  7. Uwanja wa Ndege wa Bukoba bado umefungwa. Huduma zaweza kurejea Ijumaa

    Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua. Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba. Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
  8. Rekodi ya ajali za ndege aina ya hii ya Precision Air

    Accidents and incidents The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75] This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022) Accidents with fatalities Date Flight Fat. Surv...
  9. Msemaji wa Serikali: Helikopta zetu ni za usafirishaji siyo kuvutia Ndege au Meli

    Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe. Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana...
  10. Ajali ya Ndege na Cheti Feki

    Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na siajabu kuendelea kuajiriwa, nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti? Mungu ndio...
  11. Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa...
  12. Ajali ya Precision Air: Wanasheria wa LEAT wameonesha njia, TLS wamelala kama pono!

    1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala. Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
  13. Ajali ya ndege: serikali isitutoe nje ya reli

    Tarehe 06 Novemba 2022 Tanzania iliingia tena kwenye majonzi na simanzi kubwa baada ya ndege ya Precission kuanguka ziwani ilipokuwa inataka kutua uwanja wa Bukoba. Tumepoteza Watu 19 huku kukiwa na sintofahamu kubwa ya namna serikali ilivyoshiriki kuokoa wahanga. Ajali hiyo imemuibua raia...
  14. Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa. Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
  15. R

    Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  16. Wachunguzi wa Ufaransa, Canada na Italia wawasili kusaidia uchunguzi ajali ya Precision Air

    Taarifa ya Kamishna Mkuu wa Ufaransa Nabil Hajlaoui inasema timu kutoka Ofisi ya Uchunguzi na Uchambuzi wa Usalama wa Usafiri wa Anga ya Ufaransa itasaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo. Tayari timu nyingine ya washauri wa kiufundi kutoka kampuni ya Franco-Italia, ATR, imewasili nchini...
  17. Pre investigation thoughts; nadhani moja ya sababu hizi ndio ilipelekea ndege ya Precision Air kuanguka ziwani

    Uchunguzi wa kitaalamu utafanyika hivyo majibu sahihi zaidi yatatolewa lakini hilo halituzuii kutumia fikra zetu kutafakari kilichotokea. 1. Ukungu ulipelekea rubani kushindwa kuiona runway na hivyo akaishusha ndege chini mno wakati anajaribu kutaka kuuona uwanja. Alitaka atue moja kwa moja...
  18. Naomba Viongozi wa huu mtandao mnifungie account yangu kwa kipindi Cha mwaka mzima ili nifanye maombolezo.

    Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu Nimepata uchungu mkubwa Sana Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!! Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!! Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90...
  19. Je, yawezekana marubani wa ndege iliyopata ajali walivunjika miguu na kushindwa kusimama?

    He rushed to the scene with three fellow fishermen and helped to open the rear door by smashing it with a rowing oar which helped passengers seated towards the rear of the plane to be rescued. Mr Jackson said he then moved to the front and dived into the water. He and one of the pilots then...
  20. Kwanini mazishi ya waliokufa na ndege huko Bukoba yanagharamiwa na Serikali? Wanaokufaga na mabasi?

    Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali? Mwenye ujuzi atujuze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…