ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimetimiza miaka 10 ndani ya JF

    Mwezi wa pili mwaka huu, nimetimiza miaka 10 ya kuwepo ndani ya mtandao huu pendwa wa JamiiForums. Inawezekana ikawa ni miaka michache kwa wengine ila kwangu mimi ni miaka ya kutosha sana. Nimejifunza mengi sana ndani ya mtandao huu, mungu andelee kumbariki Maxence Melo kwani bila yeye pengine...
  2. Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Habari. Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili. Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini Karne hii mambo ni tofauti. Wanawake hawataki kuzaa watoto wengi. Utasikia wawili wanatosha. Akienda...
  3. Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara. Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
  4. Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha?

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia ubatili huu ndani ya Katiba tetu, unaopora haki ya msingi ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea...
  5. Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  6. Simu Camera yake unapiga picha mpaka ndani kabisa unaona

    Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi, utumbo n.k Natamani sana na ninawaza kuweza tengeneza simu ya namna hiyo. Huu ugunduzi ni wangu kabisa...
  7. Oukumene yaleta sintofahamu ndani ya Katoliki

    Roma ndio ilianzisha Oukumene (umoja wa makanisa) na Oukumene inayaleta makanisa yote ya kikristo katika msingi mmoja na kuondoa tofauti ndogo ndogo ili wakristo wafikie umoja. Kwamba ifike mahali mkristo aweze kusali ama kuhamia kwenye kanisa lolote bila kubatizwa tena na kupokea ekaristi. Na...
  8. Kuna Watu kama hawa kwa Wanavyotukera Abiria watakuwa Wanapanda ndani ya Mabasi ila wakishuka hawatakuwa na Meno yao

    Mtu unasafiri zako mwendo mrefu halafu anapanda Mtu anahubiri Masaa Mawili tena kwa Kelele huku Mwingine nae anakuuzia Mayai na Mahindi hadi Unakereka. Wadhibitiwe upesi tutawapiga sasa.
  9. Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

    Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa? Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
  10. Makachero wa Special Branch ndani ya harakati za uhuru wa Tanganyika

    Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze. Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU. Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza Mwapachu, wengine wakiwa Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe agenda ikiwa namna ya kumuingiza Julius...
  11. Je, Usafirishaji wa Wanyama nje ya nchi itachangia ongezeko la Watalii au tunaenda kuua soko la Utalii ndani ya nchi?

    Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi. Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
  12. I

    Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

    Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama. Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link hapa chini...
  13. Unapojijali nje yako usiisahau ndani yako

    Hili ni swala la kukumbushana tu, sikuhizi watu wanajivika vitu vya thamani si haba na wala si dhambi,lakini kumbuka ndani yako ndio inajenga nje yako! Nje yako unajisitiri na nguo za gharama lakini ndani yako unapeleka vyakula vyenye chemical mpaka enzymes zinashangaa!. Hicho kichwa...
  14. Mapepo Mabaya dhidi ya Wamaasai ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii Yakamewe

    Kuna hila mbaya sana zinaendelea dhidi ya Wafugaji wa Kimaasai yanayofanyika ndani ya Wizara ya MaliAsili na Utalii. Hila hizo zinafanyika kupitia taasisi za serikali iliyo chini ya wizara hiyo. Taasisi hiyo ni Wakala wa Misitu(TFS), Idara ya Wanayama pori na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro...
  15. M

    Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

    Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67. Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
  16. Msaada wa kujua suluhisho la kukabiliana na kuvimba na kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba

    Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
  17. U

    Hivi desturi ya Kujenga nyumba nje nzuri ndani ovyo tumeitoa wapi Tanzania

    Watanzania wengi tunamatatizo ya Ushamba hasa katika ujenzi wa nyumba, kiukweli sisi ambao tumekulia sana nchi za nje tunaona mambo ni tofauti sana. Katika ujenzi wa nyumba hapa nchini, nyumba nyingi ni nzuri sana kwa nje na zimejengwa kwa gharama kubwa nje kuliko ndani, utadhani huko nje ya...
  18. Kama ulishawahi kusweka mahabusu unakumbuka kituko gani au kimbwenga gani ulichokutana nacho huko ndani?

    Salaam Wakuu! Kwa wale walioshawahi kukaa mahabusu ni kituko gani unakumbuka au tukio gani unalikumbuka ulikutana nalo huko ndani wakati ukiwa unanyea ndoo na uliingia kwa kosa gani? 😊 😊 Tupieni uzoefu🤭
  19. I

    Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

    Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
  20. Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…