Tumsifu Yesu Kristu......Ningependa kunukuu maandiko matakatifu ya Yesu mwenyewe katika injili ya Luka 17:21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu unakuja lini? Aliwajibu akasema, Ufalme wa Mungu hauji kwa kuangaliwa; wala hawatasema, Tazama, upo hapa! Au, Upo pale! Kwa maana tazama...