ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FUTIKA FUTIKA: Kilevi kinachofuta akili ndani ya muda mchache baada ya kunywa

    Maandalizi *Pukuchua mbegu zake *Changanya na maji lita 1 *Acha baada ya masaa 6+ *Kunywa Matokeo: Kati ya matukio haya manne, moja nimelishuhudia juzi kwa kijana mmoja ninayefahamiana naye na leo aliponiletea mmea huu ilibidi niupige picha nilete humu kwa ajili ya kujuzwa zaidi juu ya mmea...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye kesi za jinai mtu anayesikilizwa kesi yake akiwa ndani ya magereza anapaswa asikilizwe zaidi

    Jaji kachemka sana kwa uamuzi wake wa leo. Katika mapingamizi yote aliyoyakataa la leo ndiyo limenifanya niamini kuwa huyu ni Jaji wa kimkakati tu. Huyu hatufai. Haki hata kama ni ya mtu mmoja dhidi ya dunia nzima hupawa kuangaliwa. Kwanza kuwa suala la haki asilia "principles of natutal...
  4. JamiiForums Tanzania Uganda Airways kuongeza Senene katika orodha ya vyakula ndani ya ndege baada ya video ya mchuuzi kusambaa mitandaoni

    Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
  5. JamiiForums Tanzania Majibu ya Udalali wa Wasaidizi wa kazi za ndani. Ufafanuzi wa kina

    MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI. Anaandika, Robert Heriel. Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani. Bila Shaka wote ni wazima humu. Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
  6. JamiiForums Tanzania Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  8. JamiiForums Tanzania Zari akemea wanaomkosoa kwa kuvaa chupi nyeusi ndani ya nguo nyeupe

    Mwanasoshalaiti na mjasiriamali Zari Hassan amewakemea watu ambao wamekuwa wakimkosoa baada ya video inayoonyesha chupi aliyovalia kusambaa mitandoni. Kwenye video hiyo ambayo ilirekodiwa wakati wa sherehe za kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Zari anaonekana akiwa anasakata densi huku akiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wadada, Mkisalimiwa Jibuni Salaam, Sio Kila Salaam Ina Ubaya Ndani Yake.

    Salaam/Shalom. Kuna hili suala huwa linanishangaza sana, utakuta unamsalimia mtu halafu matokeo yake huyo unayemsalimia utakuta anakuangalia tu. Huwa najiuliza sana hili swali, hivi mkijibu salaam huwa mnapungukiwa na kitu gani dada zangu...? Leo nilikuwa Mount Meru Hospital kwa ajili ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka ndani ya Ngorongoro kuzindua kampeniza uchaguzi mdogo wa Mbunge

    Chama Cha Mapinduzi kuzindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mdogo jimbo la Ngorongoro trh 26|11|2021 katika Viwanja vya Malambo kata Sale. Kampeni hizo zitazinduliwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi "Simba wa Vita " Shaka Hamdu Shaka akiambatana na Viongozi mbalimbali pamoja Wale wa Wilaya...
  11. JamiiForums Tanzania Hayawi sasa yamekuwa: Nedy Music na mwonekano wa tofauti ndani ya gauni la kike

    Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo taasisi, Mwenyekiti yupo ndani kila kitu kimesimama

    Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk. Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  14. JamiiForums Tanzania Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

    Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland. Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara za mwendokasi una ufisadi ndani yake?

    Mipango yetu mibovu inatufilisi, natafakari kimoyomoyo kisha kwa sauti kuhusu ni nani anahusika katika kuliingiza taifa masikini kama la kwetu kwenye hasara hizi za kubomoa barabara mpya ambazo hazijachoka ili kupisha ujenzi wa barabara za magari yaendayo haraka, BRT. Barabara zetu...
  16. JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  17. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Taifa, Daniel Chongolo apiga stop "Uchawa" ndani ya UVCCM

    KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AITAKA UVCCM KUACHA KUWA WAPAMBE BINAFSI WA VIONGOZI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewataka viongozi wa mikoa na wilaya kutumia umoja wa vijana wa chama hicho kujenga miundombinu pamoja na miradi ya maendeleo wanayoanzisha...
  18. JamiiForums Tanzania Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu, Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu, Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kubeza maendeleo yaliyoletwa na CCM ndani ya miaka 60 ni kukosa busara. Tulipata uhuru tukiwa nyuma sana kimaendeleo

    Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini. Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…