nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia. Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa Mikataba na faida za kusimamia mikataba katika utendaji nchini

    Andiko langu litakuwa katika sehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza itakuwa ni utangulizi hapa nitaelezea maana ya mikataba na faida ya mikataba, sehemu ya pili nitaelezea mikataba iliyoleta migogoro au sintofahamu katika mambo mbali mbali nchini. Sehemu ya tatu itakuwa ya mwisho hapo nitatoa ushauri...
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  4. JamiiForums Tanzania Mali yazuia utaratibu wa wanajeshi wa UN kuingia nchini humo

    Mali imesitisha utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia mpango wa amani wa MINUSMA kwa sababu za kisualama. Hatua hiyo imefikiwa hadi makubaliano mengine yatakapofanyika japo haijawekwa wazi itakuwa lini, tamko ambalo limetolewa na Wizara ya Nje ya Mali. Tamko hilo limetolewa siku nne tangu...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama ya ECOWAS: Zuio la Twitter Nchini Nigeria lilikiuka Sheria na Haki za Binadamu

    Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
  6. JamiiForums Tanzania Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
  7. JamiiForums Tanzania AfDB kuanzisha Benki ya Ujasiriamali nchini Tanzania

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania. Benki ya AfDB, ambayo imekuwa ikisaidia ukuaji wa makampuni makubwa ya kibiashara ya Tanzania kwa njia mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Maafisa wa zamani wa Idara ya Upelelezi nchini Gambia wahukumiwa kifo

    Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
  9. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Royal Tour haijaleta manufaa yoyote nchini

    Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma. Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja...
  10. JamiiForums Tanzania Watoto 7 wafariki kwa mlipuko Nchini Togo

    Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Putin azidhibiti nchi za Magharibi kuingilia vita nchini Ukraine

    Rais Vladimir Putin ametoa hotuba kali kwa wabunge la Urusi, akithubutu nchi za Magharibi kujaribu kupambana na Moscow kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine . "Unaweza kusema nini, waache wajaribu," alisema kwa sauti. Kiongozi huyo wa Urusi pia alidai kuwa upande wake ulikuwa umeanza...
  12. JamiiForums Tanzania Visa viwili vya Ugonjwa wa Virusi vya Marburg vyathibitishwa nchini Ghana

    WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio familia moja na virusi vya Ebola, baada ya majibu ya vipimo vya awali kutoka kwa wagonjwa wawili...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi kubwa Afrika za Nigeria na Kongo ndizo zenye majeshi dhaifu Afrika yasiyo na uwezo wa kudhibiti waasi nchini mwao

    Nchi kubwa Afrika za Nigeria na Kongo ndizo zenye majeshi dhaifu Afrika yasiyo na uwezo wa kudhibiti waasi nchini mwao Hivi Tatizo ni nini? Uchumi wao mkubwa lakini Majeshi yao madhaifu Wataalamu shida hasa kule ni nini?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokwenda kuweka historia sekta ya kilimo nchini

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Elimu nchini na matumizi ya Teknolojia

    Habari zenu wadau. Natumain hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu yenu kujikwamua kiuchumi. Declaration of interest Niweke wazi kwamba mimi ni mdau na mpenzi wa technology kwa maana ya kusomea na katika kutendea kazi. Lakin pia nimekua mdau wa elimu kutokana kuutumia muda mwingi katika...
  16. JamiiForums Tanzania Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

    Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
  17. JamiiForums Tanzania DRC yakataa ushiriki wa Rwanda katika kikosi cha kikanda cha kupambana na waasi nchini humo

    DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo la ‘Inbreeding depression’ nchini Rwanda?

    Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe? Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi...
  19. JamiiForums Tanzania Miili ya watu 20 yakutwa katika Jangwa Nchini Libya

    Miili ya watu 20 imepatikana katika Jangwa Nchini Libya, ambapo waliookota miili hiyo wanaamini marehemu walipoteza maisha kwa kiu. Dereva wa lori ambaye alikuwa akipita jangwani hapo ndiye aliyeanza kuiona miili hiyo ikiwa kilometa 320 kutoka Mji wa Kufra na Kilometa 120 kutoka mpaka wa Chad...
  20. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

    Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania. Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…