nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Osama El-labi ni bondia mzuri na anahitaji makocha wazuri tu ili kuja kuwa bingwa wa ndondi hapa nchini.

    Habari Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini. Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi awaasa wanaoenda ukrane wasiogope kufa.

    Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika mbinguni. My take: Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin...
  3. JamiiForums Tanzania Simba Sc ijiandae na fitna nchini Angola

    By ELIUS KAMBILI NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja. Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kiwango cha riba nchini Marekani laathiri uchumi wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
  5. JamiiForums Tanzania Ufalme nchini uingereza hautakuwepo tena ifikapo mwaka 2106

    Maoni ya waingereza yanaonesha kwamba ufalme utaendelea kuwepo kwa uhakika mpaka mwaka 2036 na una uwezekano mkubwa wa kuwepo mwaka 2056. Hata hivyo maoni ya wengi ni kwamba hautakuwepo ifikapo mwaka 2106 _______________________ Support for establishing a republic instead of a monarchy was...
  6. JamiiForums Tanzania Serikalil: Hakuna mgonjwa wa Ebola nchini

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa mmoja vipimo vya maabara kuthibitisha kuwa anaugua ugonjwa huo katika...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  8. JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM kushirikiana na cpv - Vietnam kukuza fursa za ajira nchini

    CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV), kupitia udugu...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  11. JamiiForums Tanzania Uingereza yamfungia Mwakinyo, hatotakiwa tena kupigana nchini humo

    Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne. Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za Kulipwa wa dunia (Boxrec), bondia huyo amefungiwa na Bodi ya Ngumi za Kulipwa Uingereza (BBBC)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyotafuna pisi kali kwa kufananishwa na mtu mmoja maarufu hapa nchini

    Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL? Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy Mzee choka mbaya mtoto wa mjino alivhoganya ni kuchonga siti zake mbili na kukatiza mitaa ya london...
  13. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  14. JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

    Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa. Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

    Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania 33% ya vifo nchini vinatokana na magonjwa yasiyoambukiza

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA), Profesa Andrew Swai amesema magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kusababisha vifo vingi nchini ikilinganishwa na miaka ya 1980. Kutokana na ongezeko hilo, Serikali imetangaza mpango wa kuanza...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu za kupambana na madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi katika kilimo nchini Tanzania

    Kutokana na ukuaji wa shughuli za binadamu za uzalishaji kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira Hali inayopelekea kubadilika kwa tabia ya nchi. Aidha shughuli za kibinadamu Kama vile ukataji miti, viwanda, kilimo na usafirishaji vimepelekea mabadiliko hayo kwa wingi. Baadhi ya madhara...
  19. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mustakabali wa uchumi nchini Tanzania

    HATIMA YA UCHUMI NCHINI TANZANI andiko hili lina sehemu tatu, sehemu ya kwanza inaelezea maana ya uchumi sehemu ya pili, inaelezea mifano ya baadhi ya taasisi mamlaka zinazofanya vizuri kwenye maeneo yao ya utendaji sehemu tatu, inaelezea pendekezo la nini kifanyike Ili kuwa na Uchumi imara...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…