Osama El-labi ni bondia mzuri na anahitaji makocha wazuri tu ili kuja kuwa bingwa wa ndondi hapa nchini.

ToniXrated

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
1,135
2,976
Habari

Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini.

Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia makocha wazuri ambao wanaweza kumfunda na kumsahihisha makosa madogo madogo afanyayo ndani ya ulingo wa masumbwi.
 
Muda mwingi anaji-guard kuliko kupiga ngumi, japo kweli yupo vizuri harudi nyuma anapambana mwanzo mwisho
 
Anatumia muda mwingi kujilinda kuliko kushambulia, all in all akipatikana kocha mzuri anaweza kubadilika
 
Habari

Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini.

Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia makocha wazuri ambao wanaweza kumfunda na kumsahihisha makosa madogo madogo afanyayo ndani ya ulingo wa masumbwi.
Weka picha yake please
 
Back
Top Bottom