nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangao: Imekuwaje Rais Ruto awe Rais wa kwanza kutoka Afrika kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani?

    Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita. Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
  2. Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  3. Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow. Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
  4. SoC04 Kuwepo kwa shule za vipaji nchini Tanzania

    Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu. Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo mfano tunabidi tuwe nashule za vitendo kwa watoto wetu wajao kwa kugundua vipaji vya watoto ili...
  5. Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  6. SoC04 Uwekezaji katika umiliki/matumizi ya satelite nchini tanzania kwa manufaa ya taifa

    UTANGULIZI: (TAARIFA YA TCRA). 12 Mei 2024, mnamo majira ya saa tano asubuhi, kulikuwa na tatizo la upatikanaji wa huduma ya intanenti nchini. Taarifa za awali zimeonesha kuwa tatizo hilo lilisababishwa na hitilifu kwenye MKONGO WA MAWASILIANO WA BAHARINI wa kampuni za SEACOM na EASSY kati ya...
  7. Uonevu na rushwa zimehalalishwa kisirisiri nchini?

    Ukiwaacha JWTZ, ni taasisi ipi ya uma raia wa kawaida ana imani kuwa atatendewa haki bila kuinunua? 1. Polisi? Wengine wanasema kuingia kituo cha Polisi ni bure lakini kutoka ni hela 2. Mahakama? Malalamiko ni mengi kuwa hata watafsiri Sheria nao baadhi yao si wasafi 3. TRA? Inasemekana ni...
  8. M

    SoC04 Serikali ianzishe shule za msingi za kata nchini ili kuwa na nguvu kazi tosherezi ya walimu

    Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
  9. I

    Nini kinafanya Sekta ya Ngozi nchini ishindwe kukua kulinganisha na nyingine?

    Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini? Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?
  10. M

    SoC04 Changamoto katika huduma kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania

    Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao. Makundi ya walemavu wamekuwa wahanga wa kutopata huduma sitahiki katika jamii kwa maana ya kiuchumi...
  11. KWELI Nchi ya Urusi imetenga siku maalum ya kitaifa ya wanawake kubeba Ujauzito

    Hivi kuna ukweli kuna Siku ya kupeana mimba nchini Urusi
  12. Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  13. Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa kugharimu Tsh. Bilioni 3.94. Amekodi Ndege kutoka Dubai

    Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing 737-700 kutoka kampuni ya Royal Jet ya Dubai. Hatua hiyo imeibua mijadala ya nchini humo kwa Wananchi...
  14. L

    SoC04 Mapinduzi ya Teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Kuelekea Tanzania tuitakayo, Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
  15. Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini

    Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini. Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...
  16. Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
  17. Tazamia mabadiliko manne (4) makuu katika ukuaji wa Akili Mnemba (AI) nchini Tanzania 2024

    Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania. Kama unajiuliza kuwa akili mnemba ndo ipi jamaa kadadavua hapa vizuri: Nini Maana ya AI (Akili Mnemba) Sasa, turudi kwenye mada...
  18. SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
  19. MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  20. SoC04 Katika kuboresha mpira wa miguu nchini kwa Vijana, napendekeza UMITASHMITA na UMISETA iwekwe chini ya TFF na kutolewa TAMISEMI

    Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini. Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…