nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NBS na takwimu za utalii nchini

    Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao. Maoni yangu: Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema...
  2. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe wafikia kiwango cha zaidi ya 130%

    Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika. Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
  3. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya UBAKAJI Nchini, tatizo ni nini? Tujadiliane tuokoe taifa letu

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe. Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yaimarisha mafunzo ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya

    Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya. Bw. Abdi amesema hayo wakati akitembelea kituo cha mafunzo cha Huawei, na kueleza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi yake Nchini China Mwaka huu

    Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu Na Tom Wanjala Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje ya nchi ili kufikia viwango vya kimataifa vinavyohitajika. Baadhi ya masuala ambayo wakulima wa zao...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Benki ya AfDB yafanya mikutano ya mwaka nchini Ghana

    Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika. Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye ufunguzi wa mikutano hiyo amewataka wakopeshaji wa masharti nafuu wa bara hilo kuisaidia Afrika...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa China atoa mwito wa kuboresha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi hiyo ikifanikisha uchaguzi wa rais na wabunge. Bw. Dai Bing amesema China inatarajia kuwa Somalia...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya. Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais alivyowasili nchini Uswisi

    21 May 2022 Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum. Agenda nyingi zitajadiliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine ataka Urusi imlipe kwa uharibifu iliofanya nchini mwake

    Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu iliyopita. Meanwhile, Volodymyr Zelensky, Ukraine's president, has proposed a formal deal with the...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Zinapokutana vurugu za bunduki na ubaguzi wa rangi, "Black Lives Matter" inakuwa kauli mbiu ya bure nchini Marekani

    Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kumkataa Balozi wa Zambia nchini

    Ni baada ya jina la balozi huyo kuwa na maana mbaya kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania. Kumbe jina linaweza kukunyima ulaji.
  18. JamiiForums Tanzania Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

    Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo. Akaingia madarakani, akawa...
  19. JamiiForums Tanzania Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  20. JamiiForums Tanzania Wamanyema ndio kabila pekee lenye watu majasiri, shupavu, na wajanja hapa nchini

    Natoa salamu kwenu marafiki na ndugu zangu. Kwa wale wasiolifahamu hili kabila. Wamanyema ni kabila linalopatikana katika mkoa wa Kigoma, hasa hasa maeneo ya mjini kama vile Kigoma mjini, Ujiji, Mwanga, Gungu na baadhi ya maeneo ya Kasulu mjini. Yani toka enzi za ukoloni mpaka leo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…