nchi

  1. JamiiForums Tanzania Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika umeiona hapa?

  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa kupeana hisani kutaigeuza nchi kuwa ya kisurutani

    Sisi tunatoa tu maoni yetu hatujui yataisaidiaje nchi yetu leo na kesho, lakini ni heri kusema kuliko kunyamaza. Nchi yenye watu zaidi ya 60m hawakosekani watu safi wenye sifa ya kuongoza wenzao kupata maendeleo. Kama ukiwekwa utaratibu na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi bora unaofanana na...
  4. JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hizi nchi zetu tunawaza kuhusu vumbuzi?

    Nimeona nchi nyingi za Bara la Ulaya, america, Australia na Asia zikifanya jitihada za kuvumbua teknolojia ambazo kimkakati zinakuwa muhimu kwa nchi na historia ya vizazi vijavyo, kwa sasa China imeweza kupiga hatua za kutengeneza vifaa vya chaji na mitambo mengine. Je, nchi zetu zimejikita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

    Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu, Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu, Utajiri wa waganda ni rasilimali na ndio maana nimeweka sheria kali kwenye copper, dhahabu hakuna kuja kujichotea na...
  8. JamiiForums Tanzania Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
  9. JamiiForums Tanzania Kuongoza hii nchi inahitaji kiongozi msela na dikteta wananchi sio maiti kama alivyosema kenyatta ni punda!

    KIchwa cha habari kimejieleza tayari punda haendi bila mijeledi utawala wa awamu ya tano ulikuwa bora sana kuwahi kutokea nchi hii kulikua na heshima sana husikii nguchiro anapiga kelele!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tudadavue kauli hiiya Rais Samia: Polisi hongereni sana, nchi imetulia

    "Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji...
  11. JamiiForums Tanzania Mdude Chade amkosoa Rais Samia, aseme nchi haiko salama kama Rais Samia alivyowapongeza PolisiTz

  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

    vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa.... mathalani, kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na...
  13. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma ni adui wa nne wa nchi yetu?

    Kipindi cha Nyerere, maadui wa nchi walikuwa watatu: ujinga, magonjwa, na umaskini. Ingawa hao maadui wangalipo, lakini huenda kuna adui mwingine kaongezeka: watumishi wa umma. Mbaya zaidi ni kuwa huyo adui anaishi kwa jasho la wenye nchi kwa manufaa yake mwenyewe huku wenye nchi wakiumia...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

    Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, shughuli za uapisho nchini ni gharama kubwa zisizo za lazma, Viongozi badilikeni

    Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya? Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani? Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

    wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo viongozi tuliowaamini wanavyotafuna nchi juu ya migongo yetu. Sijui lini tutaamua kusimama!!

    Sijui huu ulofa tuliutoa wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…