nchi

  1. JamiiForums Tanzania Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

    Nasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi bachelor degree?

    Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
  4. JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazopenda dini duniani, Tanzania ipo nafasi ya tano

    Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao; Ya kwanza ni 1. Indonesia. 2. Senegal 3. Pakistan 4. Mali 5. Tanzania. Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
  5. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina matahira wa kutosha. Inakuwaje mtu ajivunie pesa za msaada wa COVID-19?

    Hello! Miaka 2, 3 iliyopita tulipata billions and billions kutoka kwa Wazungu ili tukabiliane na athari za COVID-19. Pesa zile nyingi zilikwenda kwenye elimu. Zilijenga vyoo vya shule na kujenga madarasa mengi hapa nchini. Wachache tuliona ni jambo jema lakini tulitoa kasoro. Inamaana bila...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  7. JamiiForums Tanzania Wasanii wanaomba Support kwa Wananchi, lakini wao hawatoi support kwa Wananchi

    Wakuu Tunaishi kwenye nchi ambayo wasanii wanawaomba sana wananchi wawape support kwny muziki wao au kazi zao sanaa lakini wananchi hao hao wakipata shida kama kutekwa, kuonewa, kukamatwa na kuandamana hutokaa uwaone wasanii hao wakitetea wala kuwakingia kifua wananchi Tunaishi kwny nchi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

    Uingereza - 1833 Ufaransa - 1848 Marekani - 1865 Saudi Arabia na Yemen 1962, Oman 1970 Mauritania 1981 Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo -Libya -Western Sahara Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
  10. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wako talented sana

    Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu. All the best. Nionyeshe Njia https://youtu.be/3mbpuIq7Nx0?si=nPosM5gXcZUXkAnZ Sijui Kuhusu Kesho https://youtu.be/eLEB5_q74lc?si=IQsKFOW0uJWNt6zo
  11. JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  13. JamiiForums Tanzania Kenya ,Nigeria na Gambia ndio nchi zinazojitolea misaada zaidi duniani

    World giving index imeiorodhesha Kenya kama mojawapo ya nchi inayojitolea zaidi kusaidia nchi zenye uhitaji lakini sio nchi TU hata watu wake wameorodheshwa kama watu wanaojitolea zaidi kusaidia wengine Pamoja na vita ndogo ndogo za siblings kati ya tz na Kenya ila nakubaliana na utafiti huu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China yazalisha bidhaa za matumizi ya nishati ya jua kuliko nchi zote duniani kwa pamoja

    Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko ilivyokuwa katika kipindi kabla ya maendeleo ya viwanda. Pamoja na kuwa ripoti hii haina jambo jipya kuhusu...
  15. JamiiForums Tanzania Badala ya Kutangaza Makusanyo ya Kodi Serikali Itangaze Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi Kila Mwisho wa Mwezi

    Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi. Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali, waanze mara moja kuweka takwimu za Mauzo na pesa za kigeni kwenye mazao na bidhaa mbalimbali Kama...
  16. JamiiForums Tanzania Nani ni mmiliki wa nchi yetu ya Tanzania?

    Napata mashaka makubwa sana pale ninapoona viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kuliangamiza taifa. Mbaya zaidi wale wanaofungua viywa vyao wanatishwa na kupotezwa .hivi heri ya viongozi ni ipi? Hivi kweli mama anaridhia haya yanayoendelea katika nchi yetu? na kwa nini iwe hivi? hivi mtu mwenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mutual Funds nje ya nchi

    Habarini wakuu, Naomba kuuliza kama yupo mwenye kufahamu mutual funds(kama vile UTT nchini tanzania) kwa nje ya nchi (esp. Marekani & Uingereza) ambazo zinaruhusu foreigners kuinvest atupe mwangaza watu wachangamkie fursa. Asanteni
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

    Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo Hiv serikali inashindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Jamani hii nchi mbona kodi na tozo zimezidi mno?

    Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa. Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…