nchi

  1. JamiiForums Tanzania Vitu vinavyotafuna nchi yetu

    Kutokuwa na utawala bora hii ni changamoto sana maana viongozi hawawajibiki na yale wayatendayo. Mipango mibovu kwa mfano sasa ivi CNG ingekuwa nishati ya kutukomboa na kupunguza mzigo kwa nchi kutumia fedha nyingi kuagiza mafuta nje lakini ukiangalia huku na huko haoni mpango wa dharura kwa...
  2. JamiiForums Tanzania SSH ni hazina ya nchi - MTU asilete mzaha na chokochoko juu yake - aendae tofauti tutamlaani kwa maneno na matendo

    Wana Jf, Salaàm! Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go. Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja. * Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo...
  3. JamiiForums Tanzania Meli kupeperusha bendera ya nchi nyingine

    Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje...
  4. JamiiForums Tanzania THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki. "Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Tinnes: Tuhakikishe tunakuwa viongozi katika nchi ambayo watu wanaamini kuna sbb ya kupiga kura kwa sababu sauti zao zinasikilizwa

    Balozi wa Norway Nchini Tone Tinnes, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yanayofanyika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam amesema “Utafiti na masomo yanaonyesha kwamba hali ya demokrasia duniani inaporomoka. Ripoti ya Freedom House ya mwaka 2023 inaonyesha kwamba demokrasia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

    huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema.. Lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Tunajua Unalazimisha huku Kujipendekeza Kwake ili mwakani uwe Mwandamizi katika Kuzunguka nae nchi nzima wakati wa Kampeni

    DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan. Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
  10. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimeipokea Demokrasia kwa hofu ya kuogopa kuumizwa kiuchumi na kisiasa. Demokrasia ni silaha ya kikoloni

    AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaoshombokea maandamano Lissu, Lema, Mbowe wanamakazi nje ya nchi; wanapakwenda; wewe je

    JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
  13. JamiiForums Tanzania NCHI YANGU TANZANIA

    Kama taifa tunaelekea....!!!! Kila kitu ni hovyo tu...ukisikiliza maneno yao unasema yes! Watu ndio hawa, ili ukweli ni hovyo hovyo
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Utovu wa nidhamu katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, unaohusisha usiginaji wa Katiba, unahalalisha wito wa “Samia Must Go”

    Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni: Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
  17. JamiiForums Tanzania Ramani: Nchi zinazoongoza kwa watu wake kujisaidia nje

    Siku moja nilipita ile beach ipo nyuma ya Ikulu. Nilistaajabu sana kuona beach imejaa kinyesi cha binadamu hatari. Ile beach unapita unakwepa kinyesi! Ilikuwa miaka kumi iliyopita, sijui kama bado watu wanajisaidia kwenye ile beach.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la kuuliwa Ali Kibao nawatetea polisi.Ni kundi lenye nia mbaya na nchi

    Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika. Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala. Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi ni mfumo uliofeli kwa Nchi za Afrika na haukuja kuisadia Afrika, Tuuboreshe kabla hali haijawa mbaya

    Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia. Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi VPN Ilivyoniwezesha Kupata Fursa za Biashara kwenye Nchi Zilizozuia Baadhi ya Mitandao

    Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…