nchi

  1. Watanzania na Wakenya katika suala la uzalendo kwa nchi zao!

    Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine. Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...
  2. Kwanini Nyerere hakuweka vituo vya kijeshi kwenye nchi alizozisaidia kupata uhuru?

    Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti tofauti. Ni gharama sana kulihudumia Jeshi. Ukiona nchi inaamua kuanzisha vituo vya kijeshi nje ya...
  3. Tuipende nchi yetu, tuwe Wazalendo

    Tusali ndugu zangu. Kama kuna sehemu tumemkosea Mungu/ Allah atusamehe. Sio kwa ubaya ndugu zangu na nisieleweke vibaya. Tuombe hofu ya Mungu itawale kwa watu wote, upendo, uwajibikaji. Muhimu hofu ya mungu itawale. Utawala bora uwe huru na haki kwetu sote. Ndugu zangu tusali kwa imani zetu...
  4. Mnaoishi na chawa mmegundua siri gani?

    Kule kwetu watu wenye chawa walikuwa wakijisikia aibu, lakini nasikia huko kwenu ni ufahari kuwa na chawa wengi! Kule kwetu tulikuwa tukuzichemshia maji nguo zenye chawa, lakini nasikia huko kwenu mnazilisha na kuzihudumia vizuri! Kule kwetu tulikuwa tukikosa usingizi chawa wakivamia vitanda...
  5. K

    Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

    Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
  6. Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  7. Zanzibar ni nchi ndogo yenye "akili" kubwa

    Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
  8. Z

    SoC04 Tanzania 2025-2045: Kuunda Nchi Imara

    Tanzania tunayoitaka kwa miaka 5 mpaka 25 ijayo ni nchi yenye maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa, ambayo inawapa raia wake fursa za maisha bora na matumaini ya baadaye yenye mafanikio. Katika kipindi hiki, tunahitaji kuweka mikakati na mipango madhubuti ambayo itahakikisha kwamba...
  9. Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

    1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia. 2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
  10. R

    Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  11. 7

    SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  12. Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  13. SoC04 Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti namna unavyoweza kuchochea uwajibikaji nchi

    Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni ICELAND, USWIS,URENO, BRAZIL na AFRICA KUSINI. Hapa nitaeleza 1. Njia zitakazo pelekea uwajibikaji...
  14. Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
  15. G

    SoC04 Tanzania tuitakayo na safari ya kuifikia nchi ya ahadi

    Tanzania ni nchi inayopatikana ndani ya bara la Africa na ipo kwenye ukanda wa Afrika ya mashariki pia kusini mwa jangwa la sahara,ni nchi inayoundwa na nchi mbili ambazo ziliamua kuungana mnamo tarehe 26/04/1964. Muungano huu ulifanyika kwa Jamhuri ya watu wa Tanganyika na Jamhuri ya watu wa...
  16. Tundu Lissu ndio turufu pekee tuliyobaki nayo Watanzania. Tusipomwelewa itakuwa ndio point of no return kama nchi

    binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
  17. Kauli za Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Rasilimali za Nchi?

    Kauli za Mhe. Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Raslimali za Nchi? Msikilize hapa akiwa Bungeni
  18. K

    Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  19. O

    Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  20. M

    Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…