nchi

  1. Nchi hii tuna bora viongozi na si viongozi bora

    Wasalaam, Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5. Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si watanzania. Tangu jana nawapigia ndugu zangu waliopo tigo najibiwa kwamba namba unayopiga haipo...
  2. J

    Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

    Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni...
  3. Naomba ushauri wa kununua gari used ndani ya nchi

    Habarini wana jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu. Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari. Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
  4. M

    Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  5. B

    Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
  6. LGE2024 Rais na Viongozi wengine wa Serikali ndani ya nchi kuto kulaani mauaji yaliyofanyika kwenye Uchaguzi sio sawa

    Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa walio kufa ni ndugu zetu sio mifugo. Tuliona katika lile tukio la Zuchu kupigwa mawe na wananchi...
  7. M

    TEC, BAKWATA na CCT saidieni kuinusuru Nchi hii.

    Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana ni hatari tupu. Mambo ya ovyo yalifanyika wakati wa uandikishaji, uchukuaji fomu za kugombea, urudishaji fomu, uapishaji mawakala, kabla, wakati na baada ya uchaguzi ni viini macho vitupu. Ndugu zangu viongozi wa Dini, nafikiri sasa ni wakati wa...
  8. L

    CHADEMA badilisheni bendera ya chama chenu, rangi nyekundu ni ishara kuwa mnataka nchi kwa kumwaga damu, hamtafanikiwa hadi siku ya kiama

    Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
  9. I

    Nchi 10 za Afrika zenye mishahara mikubwa kwa wafanyakazi wake

    Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani. Hii kimsingi inachangiwa na ukuaji mzuri wa uchumi na mahitaji makubwa ya ujuzi maalum. Ripoti hii...
  10. Uhuru Park Nairobi, Kenya nchi yenye uhaba mkubwa wa Ardhi, Vipi sisi Tanzania wenye ardhi tele na miji imejaaa Frame tupu?

    Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga. Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
  11. Shughuli za maendeleo za serikali ya Rais Samia ni short-term na hazilengi kukuza uchumi wa nchi

    Wanabodi, Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
  12. M

    Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

    Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
  13. Orodha ya Nchi zinazoongozwa Kidini au Dini inanguvu ya ushawishi

    Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika: 1. Uislamu (Nchi za Kiislamu) Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
  14. Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  15. Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

    Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote. Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara! Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
  16. Kuna balozi huwa "zinaajiri" waandishi wa habari ili ya kuwapa taarifa za mambo yanayohusu nchi zao katika vyombo vya habari, hii pia ni espionage

    Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo. Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
  17. LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  18. Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

    Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo...
  19. Watanzania tunateswa na home sickness, tuutumie Utandawazi kutafuta green pastures kwenye Nchi zingine

    Habari za leo Wana forum. Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia yetu na mataifa mengine. Naomba ndugu waTZ tujue kwamba kukua kwa diplomasia ni Ajira, heshima pia ni...
  20. Kama Tume ya Mipango ni injini ya mwelekeo wa Nchi, kuna link ipi kati ya chuo cha Mipango Dodoma na Tume hiyo? We need rethinking kuhusu Chuo hiki?

    Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango. Tume ya mipango ina link vipi na chuo hiki? Kiwe ni chuo cha elimu ya awali au ya kujiendeleza? Mipango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…