nchi

  1. Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
  2. "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"

    "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma" Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
  3. Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    IGwe! Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's. Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
  4. M

    David Kafulila: Tanzania ndio nchi pekee kusini mwajangwa la Sahara ambayo tajiri na masikini wanalingana kwa tofauti nyembamba ya kipato

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na mwanadada machachari Ms Farhia Medley, Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Kafulila akirejelea ripoti ya...
  5. Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  6. Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa. Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
  7. Greta na marafiki wanakaribia kufika Nchi Takatifu

    Greta na marafiki wanakaribia Nchi Takatifu. Israel tayari imeamua kwamba Kiherehere maarufu huyo hatafika ufuo wa Gaza. Atapigwa na kitu kizito hukohuko!!
  8. Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  9. W

    Chad yasitisha Visa kwa Raia wa Marekani baada ya Trump kufutia nchi 12 Visa

    Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani. "Chad haina ndege za kutoa wala mabilioni ya dola ya kugawa, lakini Chad ina...
  10. Ni bahati njema tu kwamba Tanzania si miongoni mwa nchi zilizopigwa Travel Ban to USA

    Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani. NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
  11. Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
  12. Ugumu wa Maisha je, Serikali haifanyi kazi yake au Wananchi wanashindwa kuendana na mifumo ya Kimaendeleo ya Nchi

    Tuweke mjadala mpana zaidi hapa najua kuwa baadhi tunaweza kudokeza kuwa sera,mitazamo,mazingira,utamaduni na mengineyo kuwa ni tatizo,lakini upande wa serikali huwenda ikamuona mwananchi ndiyo tatizo sababu haoni fursa zinazoifungua nchi yake. Hivi kwa mitazami yetu kama wanajamii foroum,ni...
  13. Nchi imeingia mdudu

    Naandika Uzi huu huku Nikiwa nimegubikwa na huzuni nyingi na masikitiko makubwa sana. Nchi yetu imekuwaje? Ile nchi tulioisifu kwa mapambio, tungo na ngonjera za kuvutia kwani kuna laana ilioachwa na waasisi Baba wa taifa Mwl. Nyerere na akina Mkwawa? toka kipindi cha kupata Uhuru na Hatujui...
  14. Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  15. P

    Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen ========== Trump...
  16. Je, Kiongozi mkuu wa nchi atahukumiwa kwa makosa ambayo hakuyatenda yeye moja kwa moja?

    Katika nafasi ya uongozi, kiongozi mkuu wa nchi anabeba dhamana kubwa ya kuhakikisha usalama wa raia wake na mali zao unakuwa mkubwa. Endapo yakitokea mauwaji ama upotevu wa raia ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani kiongozi huyo anao wajibu wa kuhakikisha kwamba anakemea maovu hayo na...
  17. USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi Leo nataka niongelee suala la miji China ina miji mikubwa kushinda Marekani, ina watu wengi kuliko ya Marekani, ina miundombinu ya kisasa, kushinda miji ya Marekani na bado...
  18. Naibu Waziri, Dunstan Kitandula: Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Visa

    Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
  19. NCHI ZINAZOONGOZA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA ILA TUPO JUU

    🌍 Nchi Zinazoongoza kwa Uchawi (Kwa Mtazamo wa Tamaduni na Matukio) 1. Tanzania (Haswa Kanda za Kaskazini na Kusini) Uchawi ni sehemu ya tamaduni nyingi za kiasili. Matukio ya uchawi yanaendelea kuonekana mara kwa mara, hasa vijijini. Kuna imani kubwa ya nguvu za roho na maajabu...
  20. Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

    Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia. Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania. Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga. Kikwete na Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…