Sasa itakuwaje kwenye nchi ya kusadikika

Okk

Senior Member
Joined
Dec 29, 2024
Posts
171
Reaction score
422
Baada ya kulazimisha ushindi, sasa analazimisha furaha, lakini moyoni hana raha wala amani.

State funded manipulators wanakuja kwa kasi na ni wengi sana, huyo Madenge ni kitangulizi tu, mara waseme wamelipwa, mara sijui nini, watakuja mpaka na risiti za kutengeneza, lakini wananchi washausoma mchezo mapema sana.

Baadae watakuja kujifanya wanakemeana ili waonekane kua wapo na wananchi, wataanza kutumbuana na kuhamishana vituo, hiyo yote ni kutafuta sympathy kwa wananchi, lakini itakua too late.

Kwa sasa siyo ile circle ya ulinzi wala mpishi anaaminika, lakini roho inasema kwisha habari yake.

Nani wa kulaumiwa, nani wa kutuhumiwa, yeye mwenyewe, yaani kifupi mshindi ndiyo target.

Kuiokoa nchi ya kusadikika isitumbukie shimoni, kafara imebaki yeye mwenyewe.

Waliopiga kura hawana amani, ambao hawakupiga kura hawana amani, na washindi ndiyo kabisa hawana amani.

Namba mbili mpaka sasa ni msafi pee, maana wakati yote yanatokea hakua na cheo wala wadhifa wowote, zaidi ya kua mgombea Mwenza.

Kwa sasa ndiye mwakilishi halali wa nchi popote pale, maana kwake yeye, doa analo bosi wake.

Kete zilisukumwa zikasukumika, akashauriwa hakushaurika, akasema anaonewa donge sababu ndiye mwanamke wa kwanza kutawala nchi ya kusadikika, kumbe alikua anapotezwa maboya.

Sasa maamuzi yote anayofanya sasa wala si yeye, yupo yupo tu, wahuni washamaliza game, kimebaki kivuli.

Namba mbili anaenda kuokota dodo kwenye mpera chapu kwa haraka, maana mwenyekiti bye bye.

Wameapa nchi haiwezi kutumbukia shimoni sababu ya mtu mmoja, bora atumbukie yeye.

Ni suala la muda tu, hakuna marefu yasiyo na mwisho, kwaheri Bi mkubwa, umekuwa wa kwanza kutawala na wa kwanza kuharibu, pole sana.
 
Si no 2 wala 3 wala 4 wala 20 ya wateule wake huyo kahaba muuaji watakao kubalika na wananchi huo ndiyo ukweli kama tume yake ilivyo kataliwa ndivyo wote walivyo kataliwa.
 
Wameapa nchi haiwezi kutumbukia shimoni sababu ya mtu mmoja, bora atumbukie yeye.

Ni suala la muda tu, hakuna marefu yasiyo na mwisho, kwaheri Bi mkubwa, umekuwa wa kwanza kutawala na wa kwanza kuharibu, pole sana.
Hii serikali feki ya muda mfupi tu itafutwa yote hao viongozi feki wote wajiandae kufutwa mmoja baada ya mwingine..
 
Baada ya kulazimisha ushindi, sasa analazimisha furaha, lakini moyoni hana raha wala amani.

State funded manipulators wanakuja kwa kasi na ni wengi sana, huyo Madenge ni kitangulizi tu, mara waseme wamelipwa, mara sijui nini, watakuja mpaka na risiti za kutengeneza, lakini wananchi washausoma mchezo mapema sana.

Baadae watakuja kujifanya wanakemeana ili waonekane kua wapo na wananchi, wataanza kutumbuana na kuhamishana vituo, hiyo yote ni kutafuta sympathy kwa wananchi, lakini itakua too late.

Kwa sasa siyo ile circle ya ulinzi wala mpishi anaaminika, lakini roho inasema kwisha habari yake.

Nani wa kulaumiwa, nani wa kutuhumiwa, yeye mwenyewe, yaani kifupi mshindi ndiyo target.

Kuiokoa nchi ya kusadikika isitumbukie shimoni, kafara imebaki yeye mwenyewe.

Waliopiga kura hawana amani, ambao hawakupiga kura hawana amani, na washindi ndiyo kabisa hawana amani.

Namba mbili mpaka sasa ni msafi pee, maana wakati yote yanatokea hakua na cheo wala wadhifa wowote, zaidi ya kua mgombea Mwenza.

Kwa sasa ndiye mwakilishi halali wa nchi popote pale, maana kwake yeye, doa analo bosi wake.

Kete zilisukumwa zikasukumika, akashauriwa hakushaurika, akasema anaonewa donge sababu ndiye mwanamke wa kwanza kutawala nchi ya kusadikika, kumbe alikua anapotezwa maboya.

Sasa maamuzi yote anayofanya sasa wala si yeye, yupo yupo tu, wahuni washamaliza game, kimebaki kivuli.

Namba mbili anaenda kuokota dodo kwenye mpera chapu kwa haraka, maana mwenyekiti bye bye.

Wameapa nchi haiwezi kutumbukia shimoni sababu ya mtu mmoja, bora atumbukie yeye.

Ni suala la muda tu, hakuna marefu yasiyo na mwisho, kwaheri Bi mkubwa, umekuwa wa kwanza kutawala na wa kwanza kuharibu, pole sana.
Hakuna huruma kwa wote. Unajaribu kumtetea namba mbili eti msafi hana usafi wowote. Yote ni ya kunyongwa tu.
 
Huyu Shetani bado hajashituka kuwa watanganyika wanataka Nini, kaka na ishu ya udini Mufti wa Tanzania kashitukia mchezo kamkwepa baada ya kuambiwa Kuna waumini walikwenda kuswali msikitini huko huko wakafuatwa wakapigwa na kuuwawa.

Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti ipandishwe mapema kabla Mwaka huu haujaisha

Kapora uchaguzi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe na bado anajizima data Kwamba wananchi walimchagua huku walikuwa hawamtaki ameshindwa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha kwa wananchi yeye anakula tu kwa urefu wa Kamba yake na Abdul na kuendekeza tamaa, Ufisadi na ubabe kwa kuwa wakuu wa vyombo keshawahonga huku hajui nyoka wadogo hata kwa mshiko waliopewa hivi karibuni bado hawamkubali hawataki kabisa kuimbishwa wimbo wa uzalendo na Amani wanachotaka huyu Boss kubwa ambaye Binti yake aliwaringishia kibunda cha Dola akae pembeni maana ameshindwa KUSIMAMIA usalama wa rasilimali za Taifa.

Hii ishu ya NGO zililipwa ni za kitoto Sana, hii nchi huyu Shetani anatakiwa akalale kuzimu hastahili kuendelea kupumua katika hii Ardhi ameuwa watanganyika kwa sababu ya tamaa ya madaraka na bado anateka na kuua watu ili kuwafanya wananchi wawe na hofu na wakae kimya.
Siyo yeye pekee yake tu CCM wote ni kunyongwa.
 
Baada ya kulazimisha ushindi, sasa analazimisha furaha, lakini moyoni hana raha wala amani.

State funded manipulators wanakuja kwa kasi na ni wengi sana, huyo Madenge ni kitangulizi tu, mara waseme wamelipwa, mara sijui nini, watakuja mpaka na risiti za kutengeneza, lakini wananchi washausoma mchezo mapema sana.

Baadae watakuja kujifanya wanakemeana ili waonekane kua wapo na wananchi, wataanza kutumbuana na kuhamishana vituo, hiyo yote ni kutafuta sympathy kwa wananchi, lakini itakua too late.

Kwa sasa siyo ile circle ya ulinzi wala mpishi anaaminika, lakini roho inasema kwisha habari yake.

Nani wa kulaumiwa, nani wa kutuhumiwa, yeye mwenyewe, yaani kifupi mshindi ndiyo target.

Kuiokoa nchi ya kusadikika isitumbukie shimoni, kafara imebaki yeye mwenyewe.

Waliopiga kura hawana amani, ambao hawakupiga kura hawana amani, na washindi ndiyo kabisa hawana amani.

Namba mbili mpaka sasa ni msafi pee, maana wakati yote yanatokea hakua na cheo wala wadhifa wowote, zaidi ya kua mgombea Mwenza.

Kwa sasa ndiye mwakilishi halali wa nchi popote pale, maana kwake yeye, doa analo bosi wake.

Kete zilisukumwa zikasukumika, akashauriwa hakushaurika, akasema anaonewa donge sababu ndiye mwanamke wa kwanza kutawala nchi ya kusadikika, kumbe alikua anapotezwa maboya.

Sasa maamuzi yote anayofanya sasa wala si yeye, yupo yupo tu, wahuni washamaliza game, kimebaki kivuli.

Namba mbili anaenda kuokota dodo kwenye mpera chapu kwa haraka, maana mwenyekiti bye bye.

Wameapa nchi haiwezi kutumbukia shimoni sababu ya mtu mmoja, bora atumbukie yeye.

Ni suala la muda tu, hakuna marefu yasiyo na mwisho, kwaheri Bi mkubwa, umekuwa wa kwanza kutawala na wa kwanza kuharibu, pole sana.
Na iwe hivyo
 
Back
Top Bottom