Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika?
Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk
* ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze
Shukrani.
Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu.
Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na...
Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania
Kidogo angekuwepo yeye angeweza force mambo mpaka ya kawa,nazan angepiga marufuku malori kusafirisha mizigo kwenda huko uganda...
Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo...
Watanzania tunapenda kukaa pembeni na kushadadia mambo kiushabiki tu mfano
Mbowe alitaka aendelee kuwa mwenyekiti watu wakatia fitina hadi akashindwa😁
paten kakosewa kidogo tu wabongo wakashadadia hadi watangazaji wakafukuzwa kazi😐wabongo wamefurahi sana.sijafurahishwa na watangazaji kumfosi...
Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi...
Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa!
Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata.
Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI?
Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4.
1. Kulinda mipaka ya Nchi.
2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu.
3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani.
# Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na...
Mpo Salama!
Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu;
1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law)
Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
Kwa hii nchi ilivyo sasa inahitaji moyo wa Kizalendo sana mbele za watu wenye akili kusema wewe ni Mtanzania. Watakuuliza maswali ya kuudhi sana. Kuna watu wananiuliza je nmekuja nchini kwao uhamishoni?
Nakimbia kutekwa na kuuawa? Anyway. Kuna watu kadhaa wameniagiza kahawa from Tz wanataka...
Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.
Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa...
Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
Katika nchi zote za ukanda huu ni uganda pekee ambayo ina dalili zote za kua kinara wa uchumi,
Ikumbukwe pia uganda ilipigwa BAN kutoka kwa IMF kutokana na sheria inayohusiana na mapenzi ya jinsia moja, lakini toka vita dhidi ya hili bomba la mafuta kushindikana vikwazo hivo vimeondolewa bila...