nchi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vipindi ya redio kugubikwa na matangazo ya kamari ni sawa?

    Hii nchi sasa tunakoelekea mi naona siko! Takriban radio zote zinachezesha kamari na ukifuatilia muda mwingi wa vipindi, niseme tu asilimia kubwa ya muda wao maudhui ni kamari. Je, tunajenga taifa la namna gani? Je, Serikali imeangalia inakuwaje hizi radio zinaruhusiwa kucheza kamari toka...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

    "Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
  3. JamiiForums Tanzania TAWA: Ongezeko la Tembo ni hatari kwa maisha na mali za watu, Mamlaka iruhusu Uvunaji wa Pembe kwa faida ya Nchi

    Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali na Wananchi. Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA)...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Agizo lolote linapotelewa, muongozo wa mbadala wake utolewe, ili kuepusha kukiukwa kwa agizo hilo

    Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza kumgharimu mhusika au mgeni yoyote kwa namna moja au nyingine. Hii inaanzia katika ngazi ya mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

    Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima. Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi. Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
  6. JamiiForums Tanzania Why Dogo P kawatekeleza mataga tangu apate shavu nchi jirani

    Kuna siku niliwahi kuandika Uzi kuhusu dogo p sio mtu wa kumuamini basi wafuasi wake na wale mjomba walinishambulia sana kwa maneno hadi nikajiamuria kukaa kimya Sasa Leo hii huyu dogo p kapewa shavu hapo nchi jirani saivi katulia mataga kimyaaaa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Urusi nafaka kwenda nchi masikini, kutoa mbolea ya bure

    Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50. Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Malikia Afariki: Sasa Nchi za Commonwealth Kusambaratika??

    Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba. ...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza. ....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit". Binafsi sioni umuhimu...
  9. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu za kasi ndogo ya maendeleoya nchi nchini Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo . Nini chanzo cha hayo yote?1.Kukosekana kwa dira ya taifa. Maendeleo yanahitaji dira kuu ya Taifa ili...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini watanzania wanapenda sana vyama vyao kuliko hata nchi?

    Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao. Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote wote wenye maslahi mapana ya kitaifa, huo mjadala utatekwa na kuwa malumbano ya kivyama. Hivi vyama...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  12. JamiiForums Tanzania Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

    Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi. Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanaogopa kujadili matatizo/changamoto za nchi yao kwa mtazamo wa kuwa watapotezwa?

    Anaandika, Robert Heriel Ni lini mtazamo huu utaondoka? Nani atauondoa? Mtazamo huu umefanya Watanzania wengi kuwa waoga wa kujadili Kwa Uhuru mambo yanayohusu nchi Yao hasa Kwa kuigusa moja Kwa moja serikali. Sio wazazi Sio Wake au watoto wetu, Sio Wasomi au wasiosoma Sio Mafukara na Wakwasi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi yetu kwasasa haina kitisho chochote, kwa nini Lissu hataki kurudi?

    Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu? Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya kabisa Kwanini harejei? Najua Kuna watu wengi wamemmis akiwa mahakamani sambamba na akina Kibatala...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  18. JamiiForums Tanzania January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
  19. JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…