nchi

  1. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Anguko la Euro; Je, ni fursa au hasara kwa nchi za kiafrika?

    Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee). Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
  2. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu

    Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba wadaiwa hao wawe wamelipa madeni ya msingi ndani ya miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022. Mama Samia ameridhia kupitia waziri wa fedha kwa kushirikiana na waziri wa...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa Sri Lanka akimbia Nchi kufuatia shinikizo la waandamanaji

    Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni miongoni mwa abiria wanne waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya Sri Lanka aina ya Antonov 32 ambayo...
  4. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kupitia NBC Premier League nchi inatangazika

    Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania. Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa na hawa wafanyabiashara wakubwa kuingia ktk soka na kuweka pesa ktk vilabu ambavyo vina umri mkubwa...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi za kidemokrasia zinakopa sana

    Zamani wakati wa ufalme, nchi ilikuwa mali ya mfalme. Mapato yote ya nchi ni yake mwenyewe. Akikopa akashindwa kulipa anafilisika mwenyewe. Wafalme walikuwa makini sana kwenye kukopa. Maana walijua wasipolipa watafilisiwa. Mfalme wa Misri, Mohammed Ali alikopa sana. Deni liliposhindwa kilipwa...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Rajapaksa wa Sri Lanka huenda akakimbia nchi

    Rais wa Sri Lanka ambaye anatarajiwa kukabidhi madaraka Julai 13, 2022, Gotabaya Rajapaksa inadaiwa alipelekwa katika kambi ya jeshi la wanaanga karibu na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa. Hayo yameelezwa na maafisa nchini humo wakati zikiongezeka fununu kwamba ataikimbia nchi na kwenda...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iruhusu vijana kuajiriwa kama mercenaries

    Niliupitia uzi wa Taikon wa fasihi bwana ROBERT HERIEL unaosema ili tufanikiwe kupata maendeleo lazima tuzivamie nchi nyingine. Niwe muwazi mawazo haya ya huyu self-claimed taikon wa fasihi ni ukweli ambao hata huitaji akili kuukubali Kutokana na huo ukweli ambao iko mifano mbalimbali...
  8. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

    Hello wakuu, naomba kuuliza Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani? Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol . Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea. Mwenye kujua utaratibu anisaidie
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza mgao wa Umeme nchi nzima kwa siku nne

    Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11. Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas. Source: Azam news
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kusafiri nchi mbili kufuatia vifo vya viongozi wakuu wastaafu?

    Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos. Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa...
  11. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Putin azidhibiti nchi za Magharibi kuingilia vita nchini Ukraine

    Rais Vladimir Putin ametoa hotuba kali kwa wabunge la Urusi, akithubutu nchi za Magharibi kujaribu kupambana na Moscow kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine . "Unaweza kusema nini, waache wajaribu," alisema kwa sauti. Kiongozi huyo wa Urusi pia alidai kuwa upande wake ulikuwa umeanza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  13. R

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi na CCM ndio vyama pekee vyenye Uwezo wa kupewa Nchi, Watanzania msidanganyike

    Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi . Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

    Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika. Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

    1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko. 2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yule Mzee akaniuliza; Kipi Bora, Nchi kupelekwa kuzimu au kurudishwa shimoni?

    Kwema Wakuu! Leo nilikutana na Mzee mkongwe ambaye mara ya mwisho kuonana ilikuwa 2017, aliponiona akanichangamkia Sana huku akatabasamu, nami nilifurahi Sana Kwa maana huyu Mzee licha ya umri kusonga lakini akili yake bado ilikuwa na nguvu, baada ya kusalimiana Stori za hapa na pale zikaanza...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Haya mabomu tunayoambiwa Hayati Magufuli aliyatega. Je hakujua kama ataongoza Nchi kwa miaka mingine mitano?

    Kulitokea suala la Umeme tukaambiwa na wajuzi wa Mambo kwa ilikuwa ni matter of time bomu hilo kulipuka kwa hiyo shida kutokea ni matatizo ya Awamu ya Tano. Kukatokea suala la ugumu wa Maisha na vitu kupanda Bei tukambiwa hivyo hivyo na kuongeza kwamba bwana Yule hakuacha pesa Hazina ila baadae...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

    Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Vyeo kama hivi katika Nchi yetu bado vina ulazima wowote ?

    Habari JF ,Ukiachana na Suala la Udiwani na Ubunge wa viti maalumu bado kuna vyeo vingi sana ambavyo kuna haja ya kuvipitia na kuona kama kuna umuhimu kuendelea kuwepo. Mfano Wilaya inawakilishwa na watu wafuatao 1. DC 2. DED 3. DAS 4. MP Lakini pia kuna nafasi za unaibu waziri ,mi nadhani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serbia imezishika nchi za Magharibi pabaya

    Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka 1999 nchi zilizo chini ya NATO wakiongozwa na Marekani ziliishambulia na kuiharibu vibaya sana nchi ya Serbia (wa iliyokuwa Yugoslavia ya zamani). Nchi za magharibi zilikuwa zinalitetea jimbo la KOSOVO lililokuwa linataka kujitenga na Serbia. Uvamizi huo ulifanikisha...
Back
Top Bottom