nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

    Je, hao Viongozi Waislamu Wanawake hawaheshimu Maandiko na wanakubali kuwa Viongozi?
  2. JamiiForums Tanzania Nchi inabidi kuongozwa na mifumo thabiti na imara na si matamko ya wanasiasa. Wasomi tulisaidie Taifa

    Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi. Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi. Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi. Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maelekezo haya kwa Walimu wa Manispaa ya Ilemela yapo nchi nzima?

    Niende kwenye hoja! Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza! Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

    Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu. Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo. Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna vijana wajinga sana katika hii nchi

    Habari! Mimi ni mwajiriwa katika ofisi moja ya umma. Sasa hapa kazini kuna watumishi wa kudumu, wa mkataba wa muda mfupi na wanafunzi waliokuja kufanya field na wengine wamezamia mazima wakisubiri huruma za boss huenda atawaajiri. Yes. Wapo walioanza kama wanafunzi mpaka wakaajiriwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  7. JamiiForums Tanzania Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

    Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye. Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia...
  8. JamiiForums Tanzania Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

    Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho. Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
  9. JamiiForums Tanzania Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

    Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi. Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
  10. JamiiForums Tanzania Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

    Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wachina ndio wana mamlaka ya kutatua suala la Taiwan na hakuna nchi yoyote yenye haki ya kuliingilia kati

    Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  13. JamiiForums Tanzania Masomo ya Arts ni muhimu nchini

    Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais. Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na mataifa ya nje. Tuwekeze Sana katika haya masomo ili tuondoe tatizo la watu kukosa lugha ya mazungumzo...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni ajira China na nchi nyingine. Ni aibu kwa Lissu kama kiongozi kupotosha Umma

    Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo. Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni sarafu ya nchi gani na ina thamani gani?

    Eti wakuu,hii ni sarafu ya nchi gani na iko na value gani?
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Mamlaka za nchi na Watanzania wote, hali ya kufunga barabara inaudhi sana

    Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo. Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…