nchi

  1. T

    JamiiForums Tanzania 2025 Kampeni zake itakuwa, Nipeni kura nikarudishe nchi mikononi mwenu, huku ni kusema ccm imeturudisha utumwani!

    Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa kwenye Kampeni za 2025, itakuwa ni hilo ndipo yafuate mengine, Hii ni sawa na kusema! Ccm imetuuza...
  2. JamiiForums Tanzania Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wenye nguvu wanavyouza Uhuru wa nchi kwa Kasi

    Upande mmoja kuna Rais, Upande wa pili kuna Spika. Hawa ni watu wenye nguvu nyingi sana katika nchi yetu. Kifupi wameshikilia mihimili mikuu miwili ya hatma ya nchi yetu. Mwanzo tulidhani kwa kuwa tumepata viongozi wanawake, watakuwa ni watu cool, wasio na ego , wenye huruma na kuweka masilahi...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

    Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023 Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Hivyo hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote, taasisi yoyote, ama nchi yoyote kusaidiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

    Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe. Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Urusi yakiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya

    Benki Kuu ya Russia imekiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya. === Russia's central bank sounded alarms on the economy Friday as the falling ruble and a record labor shortage add inflationary pressures. Policymakers kept the benchmark interest rate steady at 7.5%, where it has been since...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haijapungukiwa akiba ya Dollar tu, mpaka wazee wenye hekima haina!

    Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!! Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
  8. JamiiForums Tanzania Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi hii sijui dunia inatuonaje sio kwa vituko hivi

  10. R

    JamiiForums Tanzania TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

    Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kumilikisha bandari kwa wageni kunaathiri maslahi mapana ya kiusalama na kiuchumi ya nchi

    Jana alijitokeza yule bush doctor kwenye vyombo vya habari akishambulia ufanisi duni wa bandari kama kigezo cha kumuuzia mwarabu na kwamba mapato yatokanayo na bandari ni pesa kidogo sana. Lakini huyu bush doctor ameshindwa kutambua kuwa tatizo la nchi hii siyo mapato bali ni ufisadi...
  13. JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea ndani ya Nchi si sawa

    Moja ya vitu nitavyoendelea kumlaumu Hayati Magufuli ni kufanya bunge kuwa la chama kimoja, kuna suala la bandari kubinafisishwa naona wabunge wanashangilia tu, unabinafisha Kwa miaka 100? Maana yake mpaka wajukuu zetu wanaukuta huo upuuzi, ifike sehemu mambo ambayo siyo ya Muungano asipewe mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Njia kuu za Kiuchumi, Rasilimali na Usalama wa Nchi Kimataifa Kubinafsisha Wageni Sio Sahihi

    Wakuu Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje 1. Usafiri wa anga 2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine 3...
  15. JamiiForums Tanzania Duh! Hawa waarabu wa Sudan wameamua kuitia nchi yao kiberiti, wanapigana mpaka basi

    Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki..... A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following intense battles over the control of the Yarmouk ammunition factory involving the use of heavy weapons...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha watu wakalima; wamekatazwa kuuza mahindi yao nje ya nchi

    Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao. Nchi yenye viongozi wakudhibiti ustawi wa wazawa na kustawisha wageni inajianda KUTAWALIWA. Kila...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida. Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…