nchi

  1. Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  2. Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
  3. PostGE2025 Masheikh mko wapi? Kuna tamko la nchi za Ulaya, inatakiwa mkawajibu

    Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa Pia soma > PostGE2025 - Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa
  4. Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  5. K

    PostGE2025 Serikali inapambana kupita KIASI kurudisha nchi kwenye ukawaida

    Ni kama mambo mengine yote yamesimama Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi. Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali...
  6. T

    CCM tumieni busara, mnaitumbikiza nchi shimoni

    Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa. Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa...
  7. PostGE2025 Chalamila: Watu wamejengewa chuki na nchi yao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana. Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
  8. R

    Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  9. Nchi ilipofika mnyama wa serengeti analindwa vizuri kuliko raia

    CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa. Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au vigogo wanaopora haki za raia wa kawaida ? Inahitaji kuandamana hadi viongozi watusikie?
  10. F

    Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  11. “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  12. PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  13. Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni...
  14. Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu

    Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu. Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
  15. Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

    Friends and Our Enemies, Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani ambavyo kanisa katoliki lilimtenga kiasi cha kufikia kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari...
  16. L

    Pendekezo la Maendeleo ya Dunia litahimiza uhuru wa kiuchumi wa nchi za kusini: Mhadhiri wa UDSM

    Kwenye mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), Rais Xi Jinping wa China alitoa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia (GDI) likiwa na wito wa kuleta maafikiano kuhusu kufuata maendeleo, kuhimiza ukuaji wa pamoja na kusaidia kuharakisha utekelezaji wa ajenda ya Umoja wa mataifa ya mwaka...
  17. White house ya nchi ya Mtanila mpaka sasa imetumia 30b. Hadi maji ya kunywa anaagiza US

    Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda. Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
  18. Hatua za haraka zichukuliwe kuoka nchi

    Naomba hatua za haraka zichukuliwe kuokoa nchi kama kuwamaliza wauaji na wahuni(wanajulikana na kuleta haki na siasa safi. Mi ninavyojuaga existence ya nchi inalindwa hata kwa kuwatoa wahuni uhai kwa sababu existence ya nchi siyo jambo la mzaha.
  19. M

    PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  20. PostGE2025 Maamuzi ya kuisimamisha nchi kwa hofu ya maandamano ni ishara ya udhaifu, si uongozi

    Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi yenye utulivu kama Tanzania. Lakini cha kushangaza mbinu zilezile zilizotumika mwishoni mwa Oktoba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…