nchi za ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    WABUNGE WA UJERUMANI NI: Michael Gahler David McAllister Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

    Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu! Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa ubahili wa nchi za Ulaya, Zelensky atarudi kwa aibu White House kupiga magoti na kuomba msamaha

    Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana. Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni Marekani ndie anaachangia zaidi kuliko nchi zote za NATO, bila Marekani NATO inayumba Marekani inatoa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa WASAFIRI NA DIASPORA TU: Lets Go, Wale mliofanikiwa kwenda nchi za Ulaya au America tuambieni ni njia zipi mlizitumia??? AGENTS??

    Habari Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu Kwa wale wenzangu wenye ndoto za kusafir kwenda Poland, Australia, Ujeruman, Denmark, Scandinavia, UK, Canada, US na nchi nyingn zenye...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  10. JONA ONE

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump wafanya nchi za Ulaya zilizo katika Jumuiya ya NATO kubaki njiapanda juu ya uimara wa jumuiya hiyo yenye nguvu

    With Trump's US election win, is Europe now on its own? EU and NATO members were not shocked by Donald Trump's victory in the US presidential election but are now bracing for wild transatlantic ties. Will this accelerate efforts for more EU sovereignty? NATO's Mark Rutte (right) is considered...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  12. SaintErick

    JamiiForums Tanzania Za ndani: Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya haziko tayari Ukraine kujiunga na NATO

    Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo. Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia (Washington), Arlington-Virginia na New York wakipishana milango ya White House, Makao maku ya Republicans...
  13. canular

    JamiiForums Tanzania Kwanini matumizi ya Mbolea za Kisasa katika nchi za Afrika ni lazima ikiwa nchi za Ulaya wanatumia Samadi?

    Nimefanya utafiti katika kuongeza ufahamu kwenye mashamba ya vyakula na mazao mbalimbali yalimwayo na Wazungu, kitu nilicho gundua wao asilimia 100% wanatumia mborea ya samadi kutoka kwenye kinyesi cha ng'ombe, farasi na miti, pia na mabaki ya taka za majumbani. Pia soma: Kuwa na kilimo cha...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuteua na kutengua viongozi Serikalini iliwahi kufanywa Ulaya Mashariki miaka ya 90 baada ya kuvunjika Umoja wa Kisoviet. Ni njia za hadaa

    KWa sasa Mada kuu ni Tengua hamisha, Tengua badilisha, tengua, teua, tengua baada ya mwezi tengua. Nchi za Ulaya Mashariki baada ya kuanguka kwa Ujamaa zilijikuta katika hali mbaya ya kiuchumi na kushindwa kutoa huduma muhimu kwa raia wao. Hii ilitokana na kuwa hawakuwa na maendeleo makubwa...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mnapata wapi ujasiri na akili ya kulinganisha maendeleo yaliyoletwa kupitia CCM kulinganisha na nchi za Ulaya?

    Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Matapeli watumia Akili Bandia kujifanya Mkuu wa Umoja wa Afrika Moussa Faki, wapiga simu kadhaa kwenda Miji Mikuu Nchi za Ulaya

    Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya. Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya. Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
  17. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi yapiga kombora Ukraine, yaharibu bohari ya silaha za Marekani na Nchi za Ulaya

    Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya. Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk. Serikali ya Ternopil imesema...
  20. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya kutumia charger za aina moja

    Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k. Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
Back
Top Bottom