nchi za ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kukopa kwa Wazungu ikiwa aliharibu uhusiano na nchi za Ulaya?

    Leo 10:15pm 07/05/2022 Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida, itawezekana nchi za Ulaya Magharibu na Marekani kuiruhusu Russia kuikalia Ukraine au kuweka kibaraka wake?

    Nitakuwa wa mwishi kuamini hili litatokea kwa usalama wa nchi za NATO na Marekani maana kufanya hivyo, ni kuweka usalama wa nchi hizo rehani jambo ambalo kamwe hawatalikubali na ndio maana wanalazimika kumsaidia Ukraine wazi wazi hivi sasa. Hii vita inaweza kuchukua muda mrefu kinyume na...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Nchi za ulaya zinazotegemea gesi ya Urusi

    Sasa nimeona nianze kuzungumza mambo ya Urusi sasa. Hapa duniani nchi iliyobarikiwa kwa resources nyingi chini ya ardhi ni Urusi. Leo nitaongelea nchi zinazoitegemea urusi kwa gas.
  4. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  5. FAJES

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

    Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu. 1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
  6. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

    Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani...
Back
Top Bottom