Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote.
Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania.
Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao.
Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu.
Poor us
NCHI YANGU TANZANIA UNAUMIZWA
Tanzania ni nchi pekee duniani katika Karne ya 21 ambapo kiongozi anaweza kuwahutubia wasomi chuoni akisema "someni kwa bidii Ila mkimaliza mjue mtajiajiri wapi, serikali Haina mpango wa ajira kwa ajili yenu" na akapigiwa makofi hadi maprofesa walioajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.