Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini
Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu
Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu.
Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako binafsi ninaamini ndiko kilipo kisima cha vipaji vya hali ya juu vya soka, mzee mmoja alimzuia kijana...